Huyu Twiga kwenye nembo ya TANESCO anamaanisha nini?

Huyu Twiga kwenye nembo ya TANESCO anamaanisha nini?

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,715
Reaction score
8,058
IMG_4585.jpg


Tusaidiane, huu mchoro wa Twiga kwenye nembo ya TANNESCO unamaanisha nini!?
 
Kweli kuna wanawanyama ukiwatumia kwenye maisha na wewe unakuwa hivyo hivyo...

Twiga ni mnyama wa polepole na maringo mengi

Ndo maana Tanesco ni wa polepole na nyodo nyingi
 
View attachment 2910497

Tusaidiane, huu mchoro wa Twiga kwenye nembo ya TANNESCO unamaanisha nini!?
Uliwahi kuona wapi mnyama mwenye mguu mmoja,kifua kimeanguka kama pakacha na mdomo usioeleweka akawa bright kimaamuzi,maono na uzalishaji chanya zaidi ya kuwa pambaff mzungu wa reli?
Cc;Mshana jr aione kwenye tv yake kilingeni.
 
IMG_4586.jpg

TANNESCO: Tunaangaza Maisha Yako.
 
Back
Top Bottom