Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Blaki Womani mzima sana dear
Ndo hapo anatukumbusha mengi hajui kuanzia kombolela, kibaba na mama, ukwata na tycs na graduation na semina na kongamano na warsha na mkutano wa injili na wa siasa, mbio za mwenge, umiseta, umitashumta, ahhhh
ndugu wewe ni mgeni nchi hii,,kaunta sio za baa tu,,naamanisha madaftari makubwa,,,,,ni ukimwi tu unapunguza kasi,,,,si unakumbuka kisa cha sodoma na gomora,,,,tehe teheHizo ni kaunta gani mkuu
mpendwa,,si rahisi,,ni kama usivyojua idadi ya nywele zako,,,wengine ni marehem,,,wengi ni wake za watu,,,Hee, unakumbuka hata ,majina yao kweli!
kaka mbona unata majina ya wake zetu,,,inauma unajua,,,ohooo,,tutaonana wabaya,,,,kuna halima,mwanajuma,jenifa,doreen,wastara,aby,fetty,priss,tabu,lina,blandina,ashura,biafra,jisha-huyu muhindi,mirreile-huyu franch speaking gel,colle,sabina...opps...and much more!!!!!~!~!!!!!
Nimepitia hapa nione kina dada watasema wangapi. So far ni mmoja tu kajaribu; na my shosti Erotica aliweka wazi zamaani, kuwa amefikisha 39 tu. Nasema tu kwasababu odadi ni ndogo ukilinganisha na yangu (52) na wanaume wengi waliotaja.
Wadada wengi humu ni 2 au 3 tu!