ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kweli jf imekuwa dampo la machizi,wajinga na wapenda sifa.huyu jamaa yupo active muda wote lakini michango yake miyeyusho.comment yake moja tu eti "Asante kwa taarifa" acha kutuletea ujinga wa Facebook humu ndani mdogo wangu.