Nimemsikia na anajiaminisha sana kwamba Simba hawakupeleka timu hivyo wspinzani wao walistahili ushindi wa mezani.
Nahisi kumbe elimu haina msaada kabisa kwa watu wengi. Au ni mahaba na timu yake ya yanga tu ndio yanamfunga ufahamu.
Simba walisema hatutapeleka timu iwapo waliowafanyia fujo hawatachukuliwa hatua.
Swali la kujiuliza,iwapo bodi ya ligi ingechukua hatua siku ya mechi saa tano asubuhi,je Simba wangepeleka timu au wasingepeleka?
Maana sharti la Simba kutopeleka timu,lilikuwa wahusika wachukuliwe hatua!
Lakini badala ya wahusika kuchukuliwa hatua,bodi ya ligi ikaahirisha mechi!
Je huyu wakili mwenye mahaba,anawezaje ku hitimisha kwamba Simba waligoma kupeleka timu.
Anajuaje pengine ilikuwa ni mbinu ya kuwazubaisha wapinzani? Yanga anapewa pointi za mchezo gani na ulisha ahirishwa.
Hebu wenye akili wale wawili mwambieni huyu mzee anajiabisha.Mimi nilikuwa najua ni bonge la advocate kumbe kilaza tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app