Huyu Waziri Hapa amefika Nyumbani

Hiyo picha tu inaongea yenyewweee!!! Inaonekana amefurahi sana, na inaelekea anapenda sana kilaji huyuuuu!!!!!
 
wazee wa kiraracha kisereni mamba marangu kwa shiri,,,,tumuunge mzee wetu na kitu roho napata pata tusker malt..apawomi na ile kituyetu sijui atakunywa nani.....(MBEGE)
 
Darubini yangu inaonyesha kulikuwa na vijimate vinamshuka kwa chini..kwasababu ya picha enkachifu ilikuwa noma..mzee anapenda afya yake ktkt wazee wanaojipenda zake ni hizo za kileo kunywa ovyo matataputapu kama Lowrence masha na kushinda Bar za ajabu hana hizo labda abadilike
 
Hapana,mheshimiwa huyu atumiee kabisa pombe,msimpake matope.......
 
Hapa nahisi anasema;"kunyweni,kunyweni kwa wingi,hii kitu ndio tunaitegemea kuinua uchumi wa nchi yetu si unaona vingine vyote tumeshirikiana na baba Rizi kuviuza".

.........ni mtazamo tu!
viongozi wa Tz wa sasa :sleep:!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…