ABDUL JIRANI
Senior Member
- Jul 20, 2013
- 176
- 52
sijakuelewa post za nini hizo?
Waungwana huyu jamaa vp,mbona cmuelewi yaan madogo wamemaliza juzi tu wakati tunawaona leo matokeo yao yanatoka.tuspochukua hatua unaweza ckia mpaka post zao zinatoka ss bado tunaendelea kusota tu kitaa, sasa nasema hv mm niko tayari kuongoza maandamano twende hukohuko tukamshikize atoe ajira zetu haraka sana.tuwasiliane kwa 0718990035:A S 13: