Huzuni: Sitatumia tena huduma ya fedha kwenye simu

Mathiasyusuph

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
53
Reaction score
68
Kama haya makato ya kwenye account za simu hayatarekebishwa mwanainchi atakuwa na hali mbaya.

Jana nilitoa tsh.9000/ badala ya kukatwa tsh.9oo/ walikata 205o

Yaani sutatumia tena hii HUDUMA mpaka walekebishe huo uharamia
 
Kama haya makato ya kwenye account za simu hayata lekebishwa mwanainchi atakuwa na hali MBAYA.

Acha uongo wanakata 1000 kama awali kilichoongezeka ni shs 125 tu...
 
huezi kwepa miamala, lazima maisha yaendeleee
 
Usihuzinike, tembea "kifua "
mbere" umeshiriki kujenga mabarabara na hospitali vijijini... au nasema uongo ndugu zangu ?
 
Wapuuzi sana wanaiba mchana kweupe.i hate it .natumia bus au bodaboda au bank .ukimtumia mt u kwa bank 400000 AKICHUKUA hiyo hela kwa ATM ANAKATWA 800 TUU
 
Kama haya makato ya kwenye account za simu hayata lekebishwa mwanainchi atakuwa na hali MBAYA.

Jana nilitoa tsh.9000/ badala ya kukatwa tsh.9oo/ walikata 205o

Yaani sutatumia tena hii HUDUMA mpaka walekebishe huo uharamia
Acha uongo wanakata 1000 kama awali kilichoongezeka ni shs 125 tu...
Wameongeza 1025
acha uongo unakera sana nimetoa hela sasa hivi
 
Back
Top Bottom