Mathiasyusuph
Member
- Jul 13, 2021
- 53
- 68
Acha uongo wanakata 1000 kama awali kilichoongezeka ni shs 125 tu...Kama haya makato ya kwenye account za simu hayata lekebishwa mwanainchi atakuwa na hali MBAYA.
Jana nilitoa tsh.9000/ badala ya kukatwa tsh.9oo/ walikata 205o
Yaani sutatumia tena hii HUDUMA mpaka walekebishe huo uharamia
Kama haya makato ya kwenye account za simu hayata lekebishwa mwanainchi atakuwa na hali MBAYA.
Jana nilitoa tsh.9000/ badala ya kukatwa tsh.9oo/ walikata 205o
Yaani sutatumia tena hii HUDUMA mpaka walekebishe huo uharamia
Usihuzinike, tembea "kifua "
mbere" umeshiriki kujenga mabarabara na hospitali vijijini... au nasema uongo ndugu
Kodi sijakataa kulipa ninacho kataa nimakato makubwaUsihuzinike, tembea "kifua "
mbere" umeshiriki kujenga mabarabara na hospitali vijijini... au nasema uongo ndugu zangu ?
Wameongeza 1025Acha uongo wanakata 1000 kama awali kilichoongezeka ni shs 125 tu...
Acha uongo wanakata 1000 kama awali kilichoongezeka ni shs 125 tu...Kama haya makato ya kwenye account za simu hayata lekebishwa mwanainchi atakuwa na hali MBAYA.
Jana nilitoa tsh.9000/ badala ya kukatwa tsh.9oo/ walikata 205o
Yaani sutatumia tena hii HUDUMA mpaka walekebishe huo uharamia
acha uongo unakera sana nimetoa hela sasa hiviWameongeza 1025
Mim walikata zaidii usibisheAcha uongo wanakata 1000 kama awali kilichoongezeka ni shs 125 tu...
acha uongo unakera sana nimetoa hela sasa hivi