Official results ni 1 - 1. Dakika 88.
Kwa zile "Hamsa" "tano" kuteseka lazima ndugu zanguni. ππππYanga wamefungwa bwana
Nifichwe na nani jirani. ππ Mambo tu zimekuwa nyingi.Wewe nani anakuficha eti
Hahahaha, Mtani mie ni mutu ya futibolo ,napenda ile timu inacheza vzrHahahaaaaa. Saa nyingine simuelewagi huyo Mtani wangu.
Kuna muda namuona Simba Simba muda mwingine kama Yanga Yanga. Basi tafran[emoji3][emoji3]
mtu chake
Wachaaaa.Hahahaha, Mtani mie ni mutu ya futibolo ,napenda ile timu inacheza vzr
Mambo vipi lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ
Hizo mambo zipunguze jirani. Mpaka tunasahauliana..!Nifichwe na nani jirani. [emoji3][emoji3] Mambo tu zimekuwa nyingi.
Mzima lakini?
Kasema mambo ni mingi saaana
Hahahaha, alitekwa mixer kufichwa na mambo mingiKasema mambo ni mingi saaana
Umeonaeeee
Hahahahah yaani we mzee unavituko sana
Ebu kumbuka basi kesho si ndio leo
Sasa vumbi la congo la nn tenaMzee wa Congo anatisha
Halafu hakawii kuja na vumbi la Congo, Afanaaleki
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipiiii we dada
Hivi umetokea wapi dada ake nilivyokuwa sikuoni nilikuwa na amani sanaKwa zile "Hamsa" "tano" kuteseka lazima ndugu zanguni. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Poleni jamaani. Ndio Ukubwa huo. [emoji85][emoji85]