Wewe nani anakuficha eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atamficha nani zaidi ya shemeji baba mjengoNifichwe na nani jirani. [emoji3][emoji3] Mambo tu zimekuwa nyingi.
Mzima lakini?
Ebu kumbuka basi kesho si ndio leo
Hahahahah yaani we mzee unavituko sana
Hata mm mwenyewe nimeshasahau kabisaHahahaha, kesho ndio Leo? Asee hebu nikumbushe ,maana nakumbuka ,safari milimani,ngoma ya mdumange na mambo ya picha ,au kuna lingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atamficha nani zaidi ya shemeji baba mjengo
Hahahhah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwenye mjengo apunguze bana
Mnaelewana tuu akiHahahhah
Unaanzaje kumbishia mwenye mjengo woiiii ngoja na mm yangu yanifikie hata jf mtu hutaonekana
Mnaelewanaje eti ebu elewana kwanza na mdogo akee fulani ajue we ni member jf uone majibu yakeMnaelewana tuu aki
Hahaha hahahaMnaelewanaje eti ebu elewana kwanza na mdogo akee fulani ajue we ni member jf uone majibu yake
HahahahaHahahhah
Unaanzaje kumbishia mwenye mjengo woiiii ngoja na mm yangu yanifikie hata jf mtu hutaonekana
Mnaelewanaje eti ebu elewana kwanza na mdogo akee fulani ajue we ni member jf uone majibu yake
Hahahah nitafurahi mm aje kujua mkewe ndio sakayo wa jf kama nawaona mm huko mlipoHahaha hahaha
Mbona na yeye yumooo!. Ila shida ajue mimi ndo fulani! Ila kama niko na ID pole hakuna shida
We mzee bwana we ni kucheka tu jamani
We mzee bwana we ni kucheka tu jamani
Hahhaha ebu tuambie basi tulichokufurahisha
Hahahaha si kama hivi mnavyo chat ,marafiki zanguHahhaha ebu tuambie basi tulichokufurahisha
Hebu hukoooHahahah nitafurahi mm aje kujua mkewe ndio sakayo wa jf kama nawaona mm huko mlipo
Hahhaha unaelewa sasa tunavyochat we mzee