[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu hukooo
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ukali dada
Hahhaha unaelewa sasa tunavyochat we mzee
Hahahah
Nawaza mm ujue ukijulikanaHahaha hahaha
Hahahah
Hakuna unachoachwa we mzee kila kitu unaelewa
Sio rahisi kabisaaaNawaza mm ujue ukijulikana
Kama yapi hayo tunayokuacha we mzee
We jiamini tuSio rahisi kabisaaa
Hahaha hahahaWe jiamini tu
Kama yapi hayo tunayokuacha we mzee
Wamefanyaje hao
Ukiyaona tena
Mh
Huzuni ikiisha nitarudiMfyuuuuu unasubiri niachike utasubiri sana utaachwa we na mkeo mm bado nipo Sakayo ebu njo umsikie huyu mtu na dua zake
Halafu kwa mfano nimeachika unataka ugundue nini eti kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wewe anazungumzia huzuni ya simba tuliyofungwa 5 kwetu hatujuagi kuachwaa au kuachika
Huku usiku jamaniHahahaha, unaguna nn sasa Rafiki, habari za jioni ,au huko tayari usiku ?
Sent using Jamii Forums mobile app