Hahaha kwenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wewe anazungumzia huzuni ya simba tuliyofungwa 5 kwetu hatujuagi kuachwaa au kuachika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wewe anazungumzia huzuni ya simba tuliyofungwa 5 kwetu hatujuagi kuachwaa au kuachika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwendaaa nini niachike ili iweje na uzee huu nilionao atanitaka nani shunie mimi haachikiiii mtu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwendaaa nini niachike ili iweje na uzee huu nilionao atanitaka nani shunie mimi haachikiiii mtu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We mzee bwana umeshaanza kwetu hukohuko milimani, slogan ya ukiachwa achikaaa kwetu imetukalia kushoto yaani kiufupi hatuijuiHahahaha , nanukuu " kwetu hatujuagi kuachwaa au kuachika " mwisho wa kunukuu
Asee,kwenu ndio huko Milimani kwenye mdumange ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mimi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwendaaa nini niachike ili iweje na uzee huu nilionao atanitaka nani shunie mimi haachikiiii mtu
Eti jamani we mzeee mm nimeshafika menopause naanzaje kuachika jamani
Si ndo maana nikaomba unitafutie mchumba huko mahabuba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We mzee bwana umeshaanza kwetu hukohuko milimani, slogan ya ukiachwa achikaaa kwetu imetukalia kushoto yaani kiufupi hatuijui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We mzee bwana umeshaanza kwetu hukohuko milimani, slogan ya ukiachwa achikaaa kwetu imetukalia kushoto yaani kiufupi hatuijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wewe mm na uzee huu utanipeleka wapi halafu na mkeo je au ndio unataka unidanganye weeeh
Kwani mzee wa Swaziland mpaka leo haujaoa na uzee huo ulionao jamani
Eti jamani we mzeee mm nimeshafika menopause naanzaje kuachika jamani
Na kunywa boha pombe ya kwetu milimani ya miwa na ww ulivyo chapombe sasa mbona kunakufaa uko kabisaHahahaha, asee huko panafaa sana kwenda kupanda milima na kucheza mdumange
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, haiwezekaniki hilo kabisa,yaani uachike hapana
Ila wazee wenzio tupo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha ukajionee kwanza eenh
Hahahaha, mie nasubiri uniambie tu safari lini ,hiyo boha inanifaa sana hyNa kunywa boha pombe ya kwetu milimani ya miwa na ww ulivyo chapombe sasa mbona kunakufaa uko kabisa
Hahahaha, ndio vzr wazee kwa wazee,tunapeana uzoefu ,vibinti mambo mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wazee si mnatakaga vibinti damu inachemka sasa mm damu imeshakuwa ya baridi sina hisia yoyote tutawezana kweli