Haya mambo yaishe basi nitakupa zawadi nzuri eenhHahahaaaa. Eti eeee.
Ila Wacongo na Waarabu si watu wazuri. Aki vile. [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kabisaaaaa.
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sitaki mie. [emoji40]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
😂😂😂😂Haya mambo yaishe basi nitakupa zawadi nzuri eenh
Acha tu Dada. Mzima lakini?Hahahaa
Baba mjengo akiongea kauli moja unakuwa mpole kama piriton
Mzima dada akee vipi wewe jamaniAcha tu Dada. Mzima lakini?
Niko poa kabisa mimi. Haya uwe na wakati mzuri Dada.Mzima dada akee vipi wewe jamani
Asante dada akee uwe na wakati mzuri pia na kwako [emoji8]Niko poa kabisa mimi. Haya uwe na wakati mzuri Dada.
Nimefurahi kukuona. [emoji7]
🙏🙏🙏Asante dada akee uwe na wakati mzuri pia na kwako [emoji8]
Leo hatulali kwa masimango[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko hapa mie
Na hamlali kabisa hivi tungefungwa uso zetu tungeweka wapiiii na makelele yenu