Bila shaka.
Napokea huruma yako kwa mikono miwili. Hapa nataka kula ila nasitisha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, asee
MTC | 101| [emoji769]
Nakusubiri wewe tu
MTC | 101| [emoji769]
Hahaha, hakuna ugomvi
Hahahaha, nimesalimu amri acha nibaki na picha hii, kavaa trouser nyekundu Fulani hivi km ukumbusho
MTC | 101| [emoji769]
Endelea kunisubiri we mzee tutaenda tu
Mbona hivyo tena.Hahahhaha ulivyojibu kwa upole sasa ni picha gani hiyo sasa mliyokuwa mnazungumzia
Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Achana na huyo keshakula nyama ya nyaniEbu niambie basi nimekaaje
Ebu niambie basi nimekaaje
Hahahaha, asee dah ,acha tuNiko na wewe sasa nakusikiliza
Hahahaha, Mkuu ,hapa umenimaliza live bin mazima ,sina la kuongeza ,endelea
Tobaaaa ,dah we kweli fursa unazijua
Mmmh
MTC | 101| [emoji769]
Pm tena ujue huko situmiagi [emoji134][emoji134]