Kwanza mi nikuhakikishie kuwa hamna kitu kama hicho currently, though ipo katika sera ya Elimu lkn haijapitishwa, so, kwa sasa ni bora ukaenda Advance.
Pili, kama hiyo sera itapitishwa kabla haujaenda Advance, ni bora ukaenda kupitia diploma kama una mpango wa kukaa katika profession hiyo hiyo, lkn kama una mpango wa kuhama profession basi usipitie diploma, kasome advance. Ila ukisoma diploma ya rlimu na ukaenda Chuo kikuu kusoma Education pia, basi kozi itakuwa nyepesi sana kwako, na wewe utakuwa mwalimu mzuri sana ktk ALL levels.
Asante