hv hizi diploma za education ambazo Unachukua Km Una Certificate,znalipa Kweli?

Rajasili

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
117
Reaction score
10
Habarin Wadau,naomba Mnijuze,mm Ni Mwalimu Wa S/m Na Nna Div.three Ya Point 24,je kpi bora kuxoma advance then niendelee mbele au kupita ya mkato kwenda diploma kwa kutumia certificate?na je hzo diploma ktk soko la ajira sa hv zna mashko?
 
Kwanza mi nikuhakikishie kuwa hamna kitu kama hicho currently, though ipo katika sera ya Elimu lkn haijapitishwa, so, kwa sasa ni bora ukaenda Advance.
Pili, kama hiyo sera itapitishwa kabla haujaenda Advance, ni bora ukaenda kupitia diploma kama una mpango wa kukaa katika profession hiyo hiyo, lkn kama una mpango wa kuhama profession basi usipitie diploma, kasome advance. Ila ukisoma diploma ya rlimu na ukaenda Chuo kikuu kusoma Education pia, basi kozi itakuwa nyepesi sana kwako, na wewe utakuwa mwalimu mzuri sana ktk ALL levels.
Asante
 
Kuwa makini Mkuu, TSD wanagoma kuzitambua hizo Diploma zisizo na A Level. Fanya uchunguzi wa kutosha kabla ya Uamuzi
 
Ahsanten Wadau,nashkuru Kwa Michango Yenu
 
Advance ni bora zaidi kwani unaweza ukasoma ndani ya mwaka mmoja na ukifaulu unaenda chuo kikuu tena kwa E mbili. lakini diploma lazima usome miaka miwili na ufaulu kwa wastani wa B.
 
WENGI WAMEKIMBILIA KUSOMA UGANDA CK 30 mara tatu kwa mwaka.kuna mratibu ana cert ndo anasoma huko.cjui kina tambulika?
 
hawa waalimu wa grade A ambao wanaenda kusoma diploma ya ualimu bila kusoma advance kwanza ndio wanaosababisha elimu ya sekondari kushuka coz wenyewe wanakua hawajaiva vya kutosha, wanakua wameungaunga. elimu ya advance inapanua uwezo wa mtu kumudu kufundisha o level bila kubabaika.ushauri wangu, nenda kasome advance kwanza achana na mambo ya ujanjaujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…