Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.
sasa Max ulikuwa unataka aonje tu kumbe?
Sijasema wote ila 99% sasa Max ni remaining!% Huoni kapotezea, au anjivunga kuwapoteza maboya msahau kwanza afu ndo akubali.
Ungemwambia ni kuonja tu angekubali
hukuwa specific
inatakwa mtofautshe kupenda na kutaman, naomba nieleweke
Tatizo kuonjeshana ndo mwanzo wa kugandana hivo yabidi kuwa tayari mmoja akinogewa. Afu mi nilisema namzimia sikusema nataka kumpa. Namzimia kumuona tu!!!! LIMAO!!!!
You do sound very familiar....
washington dc doesnt it ring a bell?????
Nope.....
Then my bad!!!! Tatizo huku JF unaweza hata ukawa unchat na nduguyo hujui! Ndo maana mi naogopa kumkwaza mtu waweza kuta mpenzio ati!!!!
Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.
Sidhani kama ni kweli hapo nilipo bold!
Kikubwa nafikiri ni 'jamii itanionaje'
speak it loud bro,mimi leo mida ya saa 3 usiku huu nimetoka kumsaidia dada flani hivi kwa kumtongoza cuz alikua ananipenda adi mimi mwenyewe nikajua,most of the time body language yake ilizungumza kila tulipokuwa tunakutana,so nilipofunguka leo ikawa kama nafunga goli la kisigino vile,hamna ata kufikiriwa cuz alikua ananisubiria,sasa najiuliza kwa nini na wao wasiwe na iyo courage ya kumseduce mwanaume kama sisi tunavyoweza kuwaface???mvulana kusema nakupenda kwa mschana ni jambo la kawaida, kwa wale wachache wavulana ambao hawawez huwa wanaitwa madomo zege. Sa cjui inakuwaje kwa asilimia kubwa mschana kama amependa huwa ni mzto wa kufunguka kwa huyo alympenda, cjui anahc ktatokea nn kama akisema NAKUPENDA. Binafs naichukia mitego hebu jarbun kubadlika bac muwe kama midume ku expose ur love flng ryt.
Sijasema wote ila 99% sasa Max ni remaining!% Huoni kapotezea, au anjivunga kuwapoteza maboya msahau kwanza afu ndo akubali.
Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.
Poor Max, l hope mke wake hayumo humu; au kama yumo awe bonge la muelewa. Just imagine huyo dada hatafikiria kuwa Max kamuendea lara 1 PM, bora ingekuwa chitchat!