King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.
Poor Max, l hope mke wake hayumo humu; au kama yumo awe bonge la muelewa. Just imagine huyo dada hatafikiria kuwa Max kamuendea lara 1 PM, bora ingekuwa chitchat!
Max kafanyaje??
Hebu nie updates kidogo
Aah, kuna thread moja lara 1 kaanzisha, ameelezea jinsi gani anamzimikia JF founder kiasi kwamba yu tayari hata kuwa mpango wa kando. Na amemuomba amjibu ikibidi kwa PM. Sasa imagine Mrs Max yumo humu, na kama hana access ya inbox ya Max (which l think professionally hatakiwi kuwa nayo) anaweza assume kwamba max kamwendea PM lara 1. Sijui, just thinking; huenda yuko more understanding na ana maconfidence ya kuzidi.
Kwa mtazamo wangu, hizi jokes zingine hazifai hasa towards wale wanaotumia real ID zao. What do you think Kongosho?
Sure, ni sawa na kumtongoza raisi akiwa anahutubia
Yah, ni kweli ummempenda lakini kufuata protokali napo muhimu.
Ukimfuata chemba na kumweleza inakuwa poa zaidi
Tofauti na kumtongoza Dayamondi Platinamu akiwa jukwaani.
(Hatimaye nimeuona huo uzi)

Maxence Mello kakukubalia?
Umeona eeh, poor Max hakuwa na jinsi zaidi ya kuLIKE tu (just to be nice, l think). Yer ni bora angemuendea PM, aisee l wouldn't be a wife of a celeb for anything in the world.
tatizo kuonjeshana ndo mwanzo wa kugandana hivo yabidi kuwa tayari mmoja akinogewa. Afu mi nilisema namzimia sikusema nataka kumpa. Namzimia kumuona tu!!!! Limao!!!!
Aah, kuna thread moja lara 1 kaanzisha, ameelezea jinsi gani anamzimikia JF founder kiasi kwamba yu tayari hata kuwa mpango wa kando. Na amemuomba amjibu ikibidi kwa PM. Sasa imagine Mrs Max yumo humu, na kama hana access ya inbox ya Max (which l think professionally hatakiwi kuwa nayo) anaweza assume kwamba max kamwendea PM lara 1. Sijui, just thinking; huenda yuko more understanding na ana maconfidence ya kuzidi.
Kwa mtazamo wangu, hizi jokes zingine hazifai hasa towards wale wanaotumia real ID zao. What do you think Kongosho?
Umeona eeh, poor Max hakuwa na jinsi zaidi ya kuLIKE tu (just to be nice, l think). Yer ni bora angemuendea PM, aisee l wouldn't be a wife of a celeb for anything in the world.
Jamani usichukulie seroius kihivo! Mkewe lazima anajiamini bana, na anajua mimi najoke japo ndio ya siyo inaweza kuwa siyo ila ndio kiundani. Get real kama namtaka kweli MM ningebandika MABANGO humu? Ile ilikuwa changamsha genge kabla haijageuka chaos! After all hamna jimbo linalokosa wagombea wenza na wanaotangaza nia! Mi nilitangaza nia, sijaanza kugombea.

What if he become celeb within the existence of marriage will you divorced my dear?
Ni mke wa Sarkozy ndiye aliyemdivorce mumewe alivyoupata uraisi eeh? So it has happened before; anyway inategemea uceleb uko upande gani na tabia ya mwanaume ilivyo. So kwa muda siwezi sema for sure kuwa nitamuacha au vipi, probably not.