Inategemea na mtu, kuna watu huwa hawapendi kuwekewa vipimo (mshahara) katika mapato yao, kwa hiyo siyo rahisi kuajiriwa. Watu hawa hupenda kujishughulisha wenyewe bila kusimamiwa na huwa wanapata motisha kwa utendaji wao zidi kuliko masaa ya kazi. Vivyo hivyo kuna wale ambao huhitaji maelezo ya kipi cha kufanya, hawa hupenda kipato cha kuajiriwa.