....hv kufel mpaka lini....!

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
wakuu kiwango cha kufel kwa hawa ndugu zetu kidato cha nne kutaisha lin ....!nahc kama kila mwaka namba ya wanaofeli mtihan huo wanazid nin serikali na jamii kwa ujumla tukifanye kuepukana na tatzo hl0.....!
Nawasilisha
 
Mpaka sirikali watakapo amua kujali Quality ya elimu na sio Quantity ya wanafunzi.

Wewe unataka uelimike ili iweje? Ama utakuwa fisadi au Mtawala. Kwa hali ilivyo hapa Tz things are not about to change soon.

Not until every Tanzanian starts to evaluate our progress in Educations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…