Hv ni kweli tatizo ni mtaji ama sound business idea

Hv ni kweli tatizo ni mtaji ama sound business idea

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,130
WanaJF!!

Hv ni kweli tatizo la kuanza kufanya ujasiriamali baada ya ajira kuota mbawa ni mtaji ama kukosekana kwa wazo viable la kijasiriamali!!

Naomba tujuzane kwa kadri ya mtazamo wa mtu!!
Naamini kuna watu watakomboleka kwa michango ya wanajf hasa kipindi hk cha ajira mizunguo!!
Shukran!!
 
Back
Top Bottom