Hv sasa tuna apply mkopo au vyuo?

123cholo

Member
Joined
May 20, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Jamani naomba mnijuze hv ss watu wana apply mkopo au vyuo
Maana watu wanazungumzia kuapply vyuo wakati matokeo yenyewe bado
Jamani mm najua watu wanaomba mkopo na sio vyuo naomba nieleweshwe zaidi
 
Slip ya form six sio lazima, form za mkopo mjaze kwa uangalifu na umakini mkubwa
 
Naombeni msaada wa sanduku la barua nataka kuituma form ya bodi ya mkopo ya elimu ya juu
 
Naombeni msaada wa sanduku la barua nataka kuituma form ya bodi ya mkopo ya elimu ya juu

The excutive director,
higher eductxn student loan board,
p.o box ...
mikochen..
plot no...
dar es salaam

kwa mfumo kama huo ila angalia kwenye 4m yako juu kabixa page ya kwanza usisahau ku2ma kwa EMS na kuandka no. yako ya simu.
 
wanafunguaga mapema system coz kuapply sio nyie tu..kuna waliomalza miaka ya nyuma lkn hawakuapply vyuo so wanaanza mapema ili kusiwe na jam...application inaendelea km kawa...na kwny mkopo sahv hawahitaj result slip ya form 6..inatakia chet cha form four(copy)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…