Hata mi nakubali wanaume wote mna akili za namna gani, kwa sababu nyie wote mnatamani kwa kuona na ukiamua kuitimiza tamaa na kiu ya nafsi yako, lazima uitimize.
Kwa sababu ni mara nyingi mnafanya mambo ya ajabu kwa wanawake halafu mnasema nitamaa tu zilinishika wala sikuwa na malengo naye!! Hajatukana wala nini. Wanaume THINK and RE-THINK before you take action, don't do only because you can doooo!!
Akili zipi hizo tena za kuwapenda wanawake???Sema best!! Wanaume kwa nini wana akili za hivi??
Sema best!! Wanaume kwa nini wana akili za hivi??
Akili zipi hizo tena za kuwapenda wanawake???
Du Maty umekuja kivingine hapo sasa avatar yako kali, ile ya kushare na Suzy achana nayo, ww hapa comment tu km Ban tumezowea kuna siku watatufuta kabisa lakini huyu mwenzako mm namtafuta kwani mwenye VVU hana matamanio? na kinga kibao zipo, kwani ntamjaribu kula chumvini au halafu nampeleka Bukoba mpaka hatanisahau humu jamviniNina hamu ya kukoment hapa ila nikifungua tu napigwa ban ngoja ninyamaze kwanza
Sema best!! Wanaume kwa nini wana akili za hivi??
:laugh::laugh:JAMENI SI ANAONYESHWA UPENDO WA AGAPE AU HAHITAJI KUPENDWA NA YEYEMnamng'ang'ania nini dada wa watu, anataka aishi siku nyingi zaidi. Si nasikia ukifanya sana hayo mambo ukiwa umeathirika ugonjwa unaongezeka. Sio wewe nimekuvalisha uhusika tu!!
Maty UNAJUAJE KAMA UKO ULIKOKUSEMA KUNACHACHAMAA????down stairs kukiwa kumechachamaa upstairs kunalala, vivyo vivyo upstairs kukiwa kumechachamaa downstairs hakuna habari
Du Maty umekuja kivingine hapo sasa avatar yako kali, ile ya kushare na Suzy achana nayo, ww hapa comment tu km Ban tumezowea kuna siku watatufuta kabisa lakini huyu mwenzako mm namtafuta kwani mwenye VVU hana matamanio? na kinga kibao zipo, kwani ntamjaribu kula chumvini au halafu nampeleka Bukoba mpaka hatanisahau humu jamvini
Tatizo sio habari husika tatizo ni ku-generalize kwa kusema WANAUME WANAAKILI GANI coz anatugusa hata sisi tusiohusika, angetakiwa aseme BAADHI YA WANAUME WANA AKILI GANI
Maty UNAJUAJE KAMA UKO ULIKOKUSEMA KUNACHACHAMAA????
Aaache uchoyo huyo Dada kwani si kuna kinga...watumie kinga watu wakate kiu yao....Kuwa na ukimwi ndio iwe nongwa huo nao ni unyanyapaa dhidi ya watuwasiona virusi vya ukimwi.
Hahahaaaaaa habari senyu binafsi ukichachamaa huko habari yenu kwishney, mungu ni wa ajabu sana
Asilimia 99.9 ya wamaume wanatanguliza tamaa mbele wakishafanya ndo wanapata mawazo. Au ndo maana wakasema majuto mjukuu???:twitch:
Kwani Maty huko huwa kunachachamaa namna gani hebu niambie basiHahahaaaaaa habari senyu binafsi ukichachamaa huko habari yenu kwishney, mungu ni wa ajabu sana
Na wasioendaga kusali/kuswali muanze wiki hii mkimshukuru mungu ile shughuli ikizidi sana nusu saa tu umesharudi kwenye normal sense. ingekua inachukua siku tatu sijui ingekuaje mwe?
Ha ha ha ha ha, huwezi waelewa wanaume wakishatamani kufanya mapenzi na mwanamke,wengi wao reasoning capacity inafutika,ndo maana wengine unamjua siku ya kwanza,ya pili anataka kulala na wewe bila kinga,hawafikirii watoto wao,wake zao,wazazi wao,na jamii inayowategemea,au hata consequence nyingine za matendo yao! akishalala na mwanamle ndo akili inarudi anaanza juta na kulaumu!!!
Maskini huyo dada,wema wake haueleweki,ndo sikio la kufa halisikii dawa!!
down stairs kukiwa kumechachamaa upstairs kunalala, vivyo vivyo upstairs kukiwa kumechachamaa downstairs hakuna habari
:laugh::laugh:JAMENI SI ANAONYESHWA UPENDO WA AGAPE AU HAHITAJI KUPENDWA NA YEYE
Asilimia 99.9 ya wamaume wanatanguliza tamaa mbele wakishafanya ndo wanapata mawazo. Au ndo maana wakasema majuto mjukuu???:twitch: