Hvi wanaume wanaakili gani???

na wasioendaga kusali/kuswali muanze wiki hii mkimshukuru mungu ile shughuli ikizidi sana nusu saa tu umesharudi kwenye normal sense. Ingekua inachukua siku tatu sijui ingekuaje mwe?


wangefariki kabisa!
 

Kwa hiyo kama sijakuambia nina ngoma utanilamba bila kinga?? Au ile tu utanilamba!! Si bora huyu amejitolea kusema ukweli!! Hiyo ndio akili tunayoishangaa bro!!

Hujasikia fununu lakini nina ngoma unanilamba na unaupata, hiyo ni akili sasa?? Acheni tamaa mbaya bwana wee!!
 
Sio kweli, hivi unaongea kwa kuwafahamu wanaume wote au umeamua tu kutusiliba leo? Mimi unanifahamu?

amesema asilimia 99.9 so wewe utakuwa kwenye hiyo iliyobaki usijali
 
amesema asilimia 99.9 so wewe utakuwa kwenye hiyo iliyobaki usijali

Sio kweli bana, yeye amewa-experience 99.9% ya wanaume wa eneo analokaa ndo anataka kusema WANAUME WOTE
 
:coffee::doh::yuck::A S-cry::mad2::shut-mouth::tape2::dizzy::nono::A S 39::A S-confused1:
 
Kwa statement hii si ajabu kuna sehemu lazima walikugonga


Ukubali, ukatae, hiyo utajua mwenyewe. Ukweli lazima usemwe. Mara nyingi na kwa % za kutosha, appearance zenu na matendo yenu haviendani kabisa!
 
Ukubali, ukatae, hiyo utajua mwenyewe. Ukweli lazima usemwe. Mara nyingi na kwa % za kutosha, appearance zenu na matendo yenu haviendani kabisa!
Hapo labda ni hao wanaume uliokutana nao wewe
 
Sena wanadamu wote wana tamaa,Ila utashi wa individuals huwezi ku classify kuwa ni wanaume wote!!Basi hata huyo wako naye!!!
 
Asiwakatae kwa kutumia gear ya yeye kuathirika, bali awakatae kama ambavyo walio salama wanawakataa wanaume wasiowahitaji ki mapenzi.

Huwezi kumkataa mtu eti kwa vile umeathirika, kama hujaathirika utamjibu nini?
 
Hapo labda ni hao wanaume uliokutana nao wewe

Unajua mkuu nimegundua kitu
Hawa baadhi ya madada zetu wakiumizwa kimahusiano na wanaume wa eneo lao wanaloishi basi ni full critisize kwa kila mwanaume. Halafu mbaya zaidi watajiona wao ndio wakamilifu zaidi ya mwanaume. Sasa jaribu kufuatilia sababu ya kuvunjika hayo mahusiano kama hujaona hakuna asiye na kosa . . .
Wamekuwa wepesi sana kulaumu, lakin wazito kujifunza
 
Sio kweli, hivi unaongea kwa kuwafahamu wanaume wote au umeamua tu kutusiliba leo? Mimi unanifahamu?

Mara nyingi nawasikia watu wazima wakisema wanaume wako kama wamezaliwa na mama mmoja kila nikiuliza ina maana gani naambiwa wana tabia za kufanana...Hata hivyo katika pitapita zangu nimegundua hii kauli ina ukweli. So bila shaka nakufahamu kupitia ninaowafahamu kitabia.. Karibu lunch!!
 
Kuna ukweli ndani yake hapo maana hata usiye na hatia unawekwa humo humo
 

Bahati mbaya sisi wanaume hatuwezi kufanya assumption kama hizo kwa wanawake wote endapo tutakuwa tume-experience sana wanawake wanaopenda sana wanaume wenye pesa, au wanawake wanaopenda wanaume wenye vyeo, weupe n.k.
Na kuamini kwenu huko ndio kunawafanya muonekane wazi hamuwezi kabisa kutofautisha wanaume

asante kwa lunch dia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…