Hvi wanaume wanaakili gani???

Ili kuzima kiu ya ngono aongozane na hao wanaume hadi ANGAZA apime na kuwapa ruhusa jamaa wafuate majibu yake ya damu for their records. Secondly , umegeneralise ; si wanaume wote wenye Tabia hiyo.
 
si kweli kwamba wanaume wanaakili gani hiyo inakuwa too general,alafu kwani HIV positive ndio hatakiwi kupendwa?Minafikiri ana haki pia.Anyway huyo sijui nani mwambie aachane nao asiwasikilize hao wazinzi au nao pia wameathirika na bangi.:msela:
 
Akili zetu si za ajabu ila ni hivyo tulivyo, inatokea kupenda hata kama angekwambia vipi. Ila sasa mbaya ni pale usipotumia kinga dhidi ya hayo anayosema huyu binti.
mapenzi hayana macho. wanaume tunapenda, au kutamani kwa nguvu sana na kwa haraka

Na hicho ndicho tunachokishangaa sasa, kwa nini hamwezi kuzicontrol hizo tamaa zenu??
 
Sio wanaume tu,
Hata wanawake wanaweza kujua kabisa kuwa mwanaume fulani anaishi na VVU bado watamuwinda mradi tu kupata pesa.
Nina mifano hao na kuna mama alikua anaishi na Virusi aliweka wazi kabisa na Alipofariki mabinti wadogo tu wakawa wanashindana jinsi ya kumpata yule bwana lakini alienda kuoa kijijini kwao!
Wanasema Bora maisha mafupi yenye Neema kuliko marefu yaliyojaa dhiki.
Elimu bado inahitajika
 
Ili kuzima kiu ya ngono aongozane na hao wanaume hadi ANGAZA apime na kuwapa ruhusa jamaa wafuate majibu yake ya damu for their records. Secondly , umegeneralise ; si wanaume wote wenye Tabia hiyo.

Ya nini ajisumbue wakati ameshawaambia?
Kikubwa awashauri wakapime kwanza (Sio lazima waongozane yeye tayari anajua status yake na ameshaweka wazi), wakishapata majibu ndio waamue kurudi kwa huyo dada wakiwa na uhakika na wanachokitaka!
 
Hakuna dawa ya kuongeza siku bali kuna dawa ya kupunguza makali ya VVU!

Hao wanaume wanaokuwa hivyo wanamatatizo kuna usemi unasema "Huwezi kumtambua mtu mwenye Virusi kwa kumtazama" So waambie wawe very careful sana
 
Duh! Ndiyo maana nakupenda Chelle, manake utanisadia sana hapo kwenye reasoning capacity. Halafu hii xperience yako nimeikubali si mchezo
 
Duh! Ndiyo maana nakupenda Chelle, manake utanisadia sana hapo kwenye reasoning capacity. Halafu hii xperience yako nimeikubali si mchezo

kaka mdogo unazungumza nini hapa wakati kaka mkubwa niko na majonzi ya Gongoo la Mbotoz!

Mbagala imehamia Gongo la Mboto.

Mungu libariki jeshi letu.

Endeleeni na mada yenu, samahani kwa hii ofu topiki!:sick:
 
Hizi lugha unazotumia duh..........inaonekana kama vile tayari umekoleaaaaaaa hahahahaha
 
Duh! Ndiyo maana nakupenda Chelle, manake utanisadia sana hapo kwenye reasoning capacity. Halafu hii xperience yako nimeikubali si mchezo

Nataka ku-complain kuhusu hiyo avatar yako,inaninyima concentration,halafu hayo maneno yako pia........nafurahi umeikubali experience,mimi kweli nawasaidia ambao reasoning capacity inahamia chini....nakupa kofuli ambalo mamsap ndo anabaki na funguo.......usiwe unapotea hivyo
 
kaka mdogo unazungumza nini hapa wakati kaka mkubwa niko na majonzi ya Gongoo la Mbotoz!

Mbagala imehamia Gongo la Mboto.

Mungu libariki jeshi letu.

Endeleeni na mada yenu, samahani kwa hii ofu topiki!:sick:

Kaka mkubwa pole sana, ila ndiyo hivyo majonzi huleta mapenzi na mshikamano.........Chelle yaani baada ya mabomu ya jana naku-feel sana, i hope umesalimika laaziz.
 
Kaka mkubwa pole sana, ila ndiyo hivyo majonzi huleta mapenzi na mshikamano.........Chelle yaani baada ya mabomu ya jana naku-feel sana, i hope umesalimika laaziz.

Hivi wanaume mna akili gani jamani?????? Da Womanizer,em tupe experience yako........!!!!
 
Nimelikubali hilo kufuli kwa mwili wote.........aisee hizo funguo kaa nazo tu chelle wangu.
 
Hivi wanaume mna akili gani jamani?????? Da Womanizer,em tupe experience yako........!!!!
Brain yangu mimi saa hizi imegoma kabisaaaaaaaa.........Yaani akili yote kwako tu. Hiyo avatar yako hyo ....acha tu. Xperience nitakupa wewe tu wala usijali ukishaiweka akili yangu sawa.

On a srs note: Wanaume wameumbwa kutamani kwa kuona, na kwa bahati mbaya sana wanawake wana-take advantage of this very weakness of men, yaani wanavaa na ku-behave in such a way that wanaume wanawatamani kila wanapopita. Kusema ukweli wanaume wananyanyaswa sana kisaikolojia. So for most men akitamani mwanamke halafu huyo mwanamke akiwa kwenye mazingira ambayo ni approachable ni rahisi sana kumu-approach. Binafsi nimekutana sana na hii hali ila kwenye 100 basi nimekamatika mara 1 au 2. But really it is very tough to kwa wanaume rijali kuchomoka kwenye hii..........Nitarudi baadaye.

Back to Chelle:
Unasemaje sasa laaziz, mi nakusubiri mwenzio.
 
inzi kufia kwenye kidonda,sio ishuuu:A S 20:....!!!!wanasema kufa kulala,ha ha ha
 
Umenifurahisha sana......watu wawe wanakubali madhaifu kama ww laaziz,ndo mwanzo wa kusaidika ati.....niko home njoo karibu chai!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…