Mayo clinic
Member
- Sep 1, 2022
- 23
- 22
Msaada Kwa wataalam husika juu ya hili tatizo.hydraulic ilivuja ghafla,mafundi wakabadilisha hiyo seal kwenye gear box.Lakini baada ya kutembea masafa kidogo ikajirudia.Shida yaweza kuwa nini hapa wataalam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteHilo tatizo limemtokea Sana ndugu Fulani kwenye Toyota pro box lkn ishu kubwa ilikuwa ni Aina ya oil seal anazotumia ni fake pia gasket nayo ni fake..
Ni Bora utafute garage ambayo wanatumia shimo inakuwa rahisi fundi kuingia chini na kufunga vizuri kuliko fundi kuingia uvunguni hapa utakuwa unabadilisha kilasiku
1) Tumia ATF yenye ubora ya kiwangoMsaada Kwa wataalam husika juu ya hili tatizo.hydraulic ilivuja ghafla,mafundi wakabadilisha hiyo seal kwenye gear box.Lakini baada ya kutembea masafa kidogo ikajirudia.Shida yaweza kuwa nini hapa wataalam.
Asante sana mkuu1) Tumia ATF yenye ubora ya kiwango
2) Steering usikate mpaka ikagota mwisho
3 ) Ukipaki gari nyoosha steering ndio uzime gari, usipaki huku imekata kona.
Samahani kaka, nimecomment kimakosa, nilifikiri umesema seal ya steering box ndio inavuja.Msaada Kwa wataalam husika juu ya hili tatizo.hydraulic ilivuja ghafla,mafundi wakabadilisha hiyo seal kwenye gear box.Lakini baada ya kutembea masafa kidogo ikajirudia.Shida yaweza kuwa nini hapa wataalam.