Hydro- Geology and Water-Well Drilling vs Water Supply and Sanitation Engineering

Akili Biyengo

Member
Joined
Aug 17, 2023
Posts
13
Reaction score
10
Habari ndugu zangu,

Wenye ujuzi hapo juu naombeni kufahamu niende kozi ipi kati ya hizo mbele hasa yenye ajira na ujira kwa nchi yetu hii.

Nitashukru kama nitapata ufafanuzi mzuri
 
Drilling ni bonge la kozi sema kibongobongo hailipi
Nenda iyo water supply and sanitation ukimaliza omba kazi kwenye mashirika ya humanitarian kama water mission, world vision, NRC, DRC, Oxfam, from there proceed to the higher ranks usikubali kuajiriwa selikarini vision yako iwe kufanya kazi UNHCR, WHO, WFP na UN
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi kazi chache wahitaji wengi, kasome uje upambane sokoni.
 
Habari ndugu zangu,

Wenye ujuzi hapo juu naombeni kufahamu niende kozi ipi kati ya hizo mbele hasa yenye ajira na ujira kwa nchi yetu hii.

Nitashukru kama nitapata ufafanuzi mzuri
Soma water supply
 
Drilling ni bonge la kozi sema kibongobongo hailipi
Nenda iyo water supply and sanitation ukimaliza omba kazi kwenye mashirika ya humanitarian kama water mission, world vision, NRC, DRC, Oxfam, from there proceed to the higher ranks usikubali kuajiriwa selikarini vision yako iwe kufanya kazi UNHCR, WHO, WFP na UN
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kwa ushauri maelezo yaliyoshiba,ubarikiwe
 
Water supply and sanitation engineering ipo vizuri
 
Back
Top Bottom