josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,041
Wadau,
Kwa malengo ya kujifunza na kubadilishana uzoefu/ujuzi,
Naomba kuuliza yafutayo kwa yeyote mwenye uzoefu an ujuzi huo. Kuna matofali ya block aka hydrofom blocks/ bricks au interlocking kama nitakuwa sahihi, namaanisha yale yanayotumika kujengea nyumba bila kutumia udongo (cement mortar) husuasani NHC wanayatumia sana. Maswali yangu ni kuwa;
1. Ni material gani na sahihi/ nzuri yanayotumika? Nikisema ni ugongo, mchanga, saruji/cement nitakuwa nimekosea? Udogo huo ni wa aina gani na upatikanji wake ukoje
2. Je, nini mchanganyo wake kitaluma (ratio)?, Yaani Udongo, Mchanga, Cement.
3. Ni aina gani ya Mashine zinazotakiwa kufyatulia matofali hayo? Nani watengenezaji au Zinauzwa wapi mchini? na Bei gani? Je, ukubwa/ size ya matofali ni kiasi gani?
Angalizo: Lengo la uzi huu ni kujifunza na pengine kupanua wigo wa ujenzi wa nyumba bora japo si kwa bei nafuu!
Karibuni