INAUZWA Hydroponic fodder inauzwa

INAUZWA Hydroponic fodder inauzwa

Mnazi kuyumba

New Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4
Reaction score
37
KWA NINI UTUMIE HYDROPONIC FODDER KATIKA UFUGAJI WENYE TIJA

1. Ni rahisi kuotesha
2. Zinaota kwa muda mfupi
3. Zitakupunguzia gharama za chakula cha kuku
4. Zina wingi wa protein na vitamin, hivyo huongeza utagaji wa kuku na kinga za magonjwa
5. Zinapunguza uwezekano wa magonjwa yatokanayo na vumbi

TREY YA HYDROPONIC FODDER NI SH 3500.

*DAR UTALETEWA ULIPO, MIKOANI TUNAZITUMA

IMG-20220508-WA0003.jpg
 
OKOA 50% YA GHARAMA ZA MALISHO KWA KUTUMIA HYDROPONIC FODDER



Imethibitika kwamba unaweza kupunguza gharama za malisho ya mifugo( kuku, sungura, ngombe, mbuzi, kondoo), kwa kutumia hii sayansi

Hydroponic Fodder ni mmea wenye wingi wa virutubisho unaozalishwa kwa siku 5-7, kwenye trey maalumu,

Sayansi hii ni rahisi sana, inatumia eneo dogo na malighafi nafuu


Kilo moja ya nafaka( ngano, mtama, mahindi, uwele ) inakupa kilo kilo 8 hadi 10 za chakula chenye virutubisho lukuki.

Elimu ya uoteshwaji wa hydroponic fodder imetolewa kwenye kitabu cha MAPINDUZI YA UCHUMI NA UFUGAJI KUKU. ambacho ni kitabu cha bure, kilichoandikwa na Comrade Ally Maftah.

Trey za hydroponic fodders zipo ni 3500 tu.

Mawasiliano

0762212623View attachment 2228721

IMG-20220516-WA0135.jpg
View attachment 2228720View attachment 2228723View attachment 2228722View attachment 2228724
 
Back
Top Bottom