hydroponic nutrients

tajirisana

Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
83
Reaction score
22
Habari wana JF
Naomba mwenye uwelewa wa jinsi ya kuandaa hydroponic nutrients na kama anaweza nifundisha kidogo niko tayari, nahitaji msaada wenu wa dhati
 
Habari wana JF
Naomba mwenye uwelewa wa jinsi ya kuandaa hydroponic nutrients na kama anaweza nifundisha kidogo niko tayari, nahitaji msaada wenu wa dhati

........wate ( maji safi)

.........bleach

............Bioactive Microbes

...........Vegimax

..............HB-101

kama wewe ni mtu makini nadhani umenipata.....na hapo hujasema unatumia mbegu gani kutengenezea hiyo fodder ndio maana nkawa general na mimi
Kila la kheri
 
nataka kutengeneza fodders kwa ajili ya mifugo kutumia mbegu ya shayiri, kama kaka ni mtaalamu nijulishe basi tuelewane utanifanikishaje kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…