Hygiene kwa kina dada

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,055
Habari zenu wakuu.

Mara baada ya salama naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna Binti moja mzuri sana kiumbo na kisura lakini huyu binti amefuga kucha ana kucha ndefu kweli kweli mpaka sametimes anapofua namuonea huruma anavyoangaika.

Sasa swali langu liko hivi, je anawezaje kujisafisha sehemu zake za siri anapooga?

Ahsante. Nawasilisha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani sehemu za siri zinasafishwa kwa kucha.Sehemu za siri pamoja na macho ndio sehemu pekee ambazo hujisafisha zenyewe.Anachotakiwa kufanya ni kukata hizo kucha kwani zinaweza kubeba maambulizi.

Issue ya sehemu za siri ni wewe na nguo za ndani unazovaa ,hygiene yako nk.Shida wavulana wengi hawajiongezi kujua maumbile ya wanamama.Narudia ukiona mwanamke anasafisha sehemu za siri kwa mikono kwa kuingiza sabuni au vidole yuko hatarini kupata magonjwa hatari kwani anaondoa backteria muhimu kwenye uke wake.Asante.
 
UPOPO,

Aisee mimi nikajua anapojisafisha anajichokonoa na kuumia kwa kuwa sehemu hiyo ni laini[emoji1438]‍♀[emoji1438]‍♀[emoji1438]‍♀


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Baelezeee baelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ajabu sana kuona mpaka 2020 bado watu hawajui namna sehemu hizo zinavyojisafisha zenyewe wanapambana tu na vidole
 
😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…