Wakuu habarini ningependa kuuliza waliopo iringa na wanaoijua iringa, vifaa vya hygrometer kwaajili ya kupima unyevu kwenye incubator vinapatikana sehemu gani hapa iringa mjini? Mimi ni mgeni wa maeneo haya na nina uhitaji sana wa hygrometer... asanteni
Mkuu inakuwa na usahihi kweli katika kupima unyevu hiyo ya kutengeneza...
okay,mimi najua kutengeneza kwa ujuzi wa electronics niliupata,hapa natengeneza vitu vingi;Mkuu hygrometer sijaipata huku kuna duka wanauza ila mzigo umeisha....