Hypocrisy is a word synomous to Kenyans

Kama umejawa na chuki rohoni mwako, usimlaumu mwengine. Mbona Uganda, Rwanda na Burundi hawatuchukii?
Hahahahaha, Burundi hawawachukii?, Uganda hawawachukii, uliza wakenya walipo Migingo. Burundi ndio kabisa hawataki kusikia wakenya, walikataa hata ndege zenu.

Uliza Nigeria, SouthAfrica, au Zimbabwe ndio mtajua ni kwa kiasi gani mbavyopendwa hapa Africa kwa sababu ya ujuaji wenu na ubinafsi uliowajaa.
 
Sylvia is our own, the chicks were ours and the cows were also ours. Don't expect anybody to keep quiet when it's property is being molested unless they are mad men. But apart from those we will never focus on a poor country like Tanzania.
So why did you say that you careless about Tanzania. Why did you mind about Uganda pipeline and EPA, are these also yours?.

If Sylivia, Chickens and Cows are yours, why don't they stay in your country instead are crossing border to spread Kenyan bad behaviors to the country full of milk and honey?, we shall never allow that, stay were you are, should you try to cross to Tanzania, then will to you through the hard way.
 
How about you go and ask them about Tanzania? Toka hapo Tandale tembea ulimwengu ujue Dunia haizungukii mbagala.

Watanzania wananibamba jinsi chuki zao zinavyofanya washindwe kufikiria hahaha! Hadi wanatamani nchi zengine zituone wanavyotuona.
 
Ugandans hawajaichukia Kenya hata kidogo.
 
Ugandans hawajaichukia Kenya hata kidogo.
Mbona mnagombana nao sana pale migingo, hadi wanajeshi huusishwa, wakawalaghai kuhusu bomba la mafuta.
Ww unaona ni upendo huo?
 
Tangu lini migogoro ya ardhi ikawa chuki?
Mbona mnagombana nao sana pale migingo, hadi wanajeshi huusishwa, wakawalaghai kuhusu bomba la mafuta.
Ww unaona ni upendo huo?
 

Lol. The Kenyan government is a board member of Safaricom. It owns 35% and entitled to a vote on appointments.
How many shares does Tanzanian government have in Vodacom, for them to stop what the board decides?
 

Wakati mwingine huwa haueleweki, wewe uliwahi kusema watanzania elimu yao iko chini kiasi kwamba hatuwezi kupata competent person to take over such posts. Je vipi ninyi wakenya wenye kujifanyakujua na kuabudu kiingeraza mbona anaongoza mgeni ina maana pamoja kuabudu kiingereza mnakuwa wazembe kiasi hicho?
 

Sisi tunaruhusu ushindani, hatutegemei serikali ikatalie vibali vya wageni kwa madhumuni ya kutulinda, kwa kifupi, kampuni ikibaini mgeni fulani ni bora kuzidi mamilioni ya Wakenya, tunampokea na kumpa ushirikiano bila kinyongo, tofauti na mlivyo wazee wa chuki, wivu na wazembe.
 
Hahahahaha. Juzi mlianzisha kampeni na maandamano ya "Play Kenyan music" na bunge linapitisha sheria ya kwamba muziki wa Kenya upewe 80% ya airtime, huko ndio kuruhusu upinzani?.

Ninyi ni wanafiki sana, wabinafsi na roho mbaya, mkiona mbashindwa katika eneo moja, lazima mtafanya figisu figisu ili mkwepe upinzani. Ukija upande ambao ninyi ndio mnataka jambo Fulani, utasikia tunaruhusu upinzani.

Bahati nzuri Magufuli anawajua vizuri sana na anawanyorosha kisawasawa, Hongera sana Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…