Hypothesis

Hypothesis

Mpigaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
384
Reaction score
42
Katika mtihani wa kidato cha nne 2010 somo la geography kulikuwa na swali kwenye topic ya research lisemalo-What Problems faced in hypothesis formulation?naomba msaada wenu wadau!!
 
Kwakua unaacces net ingia google au answer.com utapata faster
 
Kwakua unaacces net ingia google au answer.com utapata faster
<br />
<br />
Nimefanikiwa kupata majibu ya swali hilo katika website moja.Yaelekea mtunga swali hilo alinukuu website hiyo kama ilivyoandikwa.
 
Back
Top Bottom