Tupo baharini kabisa meli inatia nanga kwetu ila tupo na matakataka kweli aisee kwa sababu yao mpaka commercial car wao kodi juu sijui wanataka nani afanye hizo biashara..Hapa mchawi Ti-hara-heyi tu manina zao. Utasikia kodi ni USD 32,000. Hawa ndo wanatufanya tununue na kuendesha mikweche.
π€£π€£π€£ Wanataka waendeshe wao tu gari mzuriNimekuwa nashawishika na gari za Hyundai, ila nyingi ni LHD
Ila ni magari yenye muonekano mzuri sana, wenye kuvutia
Pamoja na hayo, mchawi Kodi za TRA tu
Hapo mtajikuta mnagawana pasi pasu
Bei ya gari $29,000 unakuta Kodi $31,000 π
Imekaa vizuri sana,,ushindani sikuhizi umekuwa mkubwa, hakuna anayeleta kituko sokoni an wanakaa kimyaaa wakiibuka ni Mali haswaa.Hyundai wameredesign kabisa muundo wa Tucson mpya, ni boxy, Nene na ndefu kuliko generation za nyuma.
View attachment 3682149
Tucson 5th gen inakuja na options tatu, full mafuta, hybrid ya kawaida na hybrid ya kuchaji.
View attachment 3682150View attachment 3682153
Ya mafuta tu (petrol/diesel) inakuja na 2.5L NA i-4 au 1.6L turbocharged inline-4 engine, 8-speed auto, inatoa 180 HP. Na wakati hybrid ya kawaida Ina 1.6L turbocharged inline-4, 6-speed auto, 230 HP, na PHEV Ina 1.6L turbocharged inline-4, 260 HP, 6-speed auto, na EV mode 30 km.
View attachment 3682151View attachment 3682152
Gari pia Ina new interior, new safety and drive assistance features, inakuja FWD na AWD na Bei kuanzia $29,000/= tu.
Fortuner ya 2024,2025 kodi wanataka 65m Tsh ina nini mpaka ilipiwe hiyo kodi wameona watu wanaagiza wakaweka mzigo wa kodi ili watu waagize tena ist za 25m gari ya mwaka 2006..Nimekuwa nashawishika na gari za Hyundai, ila nyingi ni LHD
Ila ni magari yenye muonekano mzuri sana, wenye kuvutia
Pamoja na hayo, mchawi Kodi za TRA tu
Hapo mtajikuta mnagawana pasi pasu
Bei ya gari $29,000 unakuta Kodi $31,000 π
Yaani Hyundai na Kia wapuuzi, hawauzi Japan sana, kwahiyo kukuta RHD ngumu kinoma.Nimekuwa nashawishika na gari za Hyundai, ila nyingi ni LHD
Ila ni magari yenye muonekano mzuri sana, wenye kuvutia
Pamoja na hayo, mchawi Kodi za TRA tu
Hapo mtajikuta mnagawana pasi pasu
Bei ya gari $29,000 unakuta Kodi $31,000 π
Mkuu haya magari ya mafuta tutaendelea kuishi nayo Sana , Korea na Japan bado wamekomaa na ICE na hybrid cars pekeeAjiongeze aachane na mafuta, aweke mota na betri. π
Kuna brand 1 ya Kia niliipenda, lakini nikashindwa kuiagiza kutokana na kuwa LHDYaani Hyundai na Kia wapuuzi, hawauzi Japan sana, kwahiyo kukuta RHD ngumu kinoma.
Kama Kodi ni hiyo 65M inaonesha gari hadi uje uimiliki lazima ikutoke 120M hivi πFortuner ya 2024,2025 kodi wanataka 65m Tsh ina nini mpaka ilipiwe hiyo kodi wameona watu wanaagiza wakaweka mzigo wa kodi ili watu waagize tena ist za 25m gari ya mwaka 2006..
Kabisa, hawajui wengi wakifanikiwa kumiliki magari, Uchumi wa Nchi unasisimkaπ€£π€£π€£ Wanataka waendeshe wao tu gari mzuri
Ya mwaka huo ukilipa hiyo kodi ni zaidi ya 170m mpaka inakua kwenye mikono yako ndio maana wapo busy kukamatana road kisa kodi zao hazilipiki kuna mwana alilipia Range Rover zaidi ya 120 ilikua ya mwaka 2020 LC 300 kodi ni zaidi ya 130m wao wanapata faida kubwa kuliko hata kiwanda au kampuni iliyotengeneza hizo gari..Kama Kodi ni hiyo 65M inaonesha gari hadi uje uimiliki lazima ikutoke 120M hivi π
Kweli bongo Viongozi hawataki watu wanunue magari π
Kwa kweli ni kumuumiza mwananchiYa mwaka huo ukilipa hiyo kodi ni zaidi ya 170m mpaka inakua kwenye mikono yako ndio maana wapo busy kukamatana road kisa kodi zao hazilipiki kuna mwana alilipia Range Rover zaidi ya 120 ilikua ya mwaka 2020 LC 300 kodi ni zaidi ya 130m wao wanapata faida kubwa kuliko hata kiwanda au kampuni iliyotengeneza hizo gari..
Meli imeshusha mzigo hapo bandari mzigo wote unatakiwa uende DRC magari wameweka kodi kubwa kwa hiyo watu wanafanya yakimbie yashushe yarudi kupakia tena wakati wangepunguza kodi za truck wangepata hiyo kodi kwenye mafuta magari mengi yanafanya kazi wao wanataka kwanza kodi kubwa ya kuingia na wanakwamisha biashara na mapato yao bila kujua.Kabisa, hawajui wengi wakifanikiwa kumiliki magari, Uchumi wa Nchi unasisimka