Nilikujibu mkuu unawezaje kuokoa gharama wakati kodi utakayolipa ni sawa na gari iliyotoka Japan hawana mambo ya uchakavu sasa hivi utoe Malawi,SA au Zambia kodi ile ile ila kwa bei ndogo unaweza kuipata Botswana sio Zambia.