I acquire frnds to chat wth,no gender racial applied!

I acquire frnds to chat wth,no gender racial applied!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
750
Reaction score
656
Naitwa Hussein Juma wa Shy-town n nina umri wa miaka 21 sasa! Nimehtimu kidato cha nne mwka jana na nimefaulu kuendelea na masomo ya kidato cha tano&sita hvyo nasubr selection nipangiwe! Napenda sana kuchat n watu jnsia zote wnye ushauri wa busara wanaopenda maendeleo ya wengne siyo wle wenye roho za kutu zenye umbo la korosho! Napenda sana kujadili mambo ya msng yatakayokuwa na manufaa kwng hata kw wngne pia! Usharobaro kwng n taboo na ninakiapo cha kutoshabikia sharobaro maana wao aghalab wanamawazo finyu yanayoweza kupotosha jf n jamii kw ujumla! Napenda sana hiphops na ni shabiki mzur sana wa msanii wa hiphops,Roma mzalendo! Mbali na ushabiki wa hiphops pia napenda sana reggae hasa za lucky dube kama ile ngoma yke ya "reggae strong". Pamoja san wanajamii forums!
 
Back
Top Bottom