I Advice Wema to ditch this guy, he's not worth it


Mkuu wema hana nyota wa embassy domo anajua kuimba na nyimbo zke ndio zimemtoa,unaposema anasafiria nyota y wema unakosea kwani sana,wema fani yke ni kupenda sifa n marafiki wehu kma aunt.

Sema wema ameshafanya biashara gani akatoka kimaisha, amesaidia n ex wke kufunguliwa ofisini napo kashindwa domo acha amfumue tu mbunye y bure kapata.
 

Mkuu unaweza kua na mtu unaishi nae, hafanyi kazi yoyote lakini kuonekana nae tu hadharani kukaletea bahati kubwa. Kama huyu dada! kama ni mbunye, mbona wanawake wengi tu wanazo, kama ni K za bure, si wengi wamepita kwa Dimondi, Lakini why This particular girl?. Wema Sepetu!
She may be a fish yes! but she is not like other fish. She is a GOLDEN FISH.
 

She isn't a golden fish bro amekua n wangapi hajafanikiwa,alikua n kanumba,mr blue then teja jumbe kote huko ametoka n nini.
Sisi wanaume tuna vigezo vyetu kma mwanamke anakushauri tu muende club n mabest cjui mkale bata sauz huyo hafai msikitini wala kanisani.

Domo kasoma alama z nyakati kaona huyo c wife material ni mbunye material. ,tupa kule hata ukimfungulia biashara atakula mtaji wko bure
 

Mkuu tuweke suala la nyota pembeni maana Diamond anafanya kazi kwa bidii sana, tuanze kumuongelea Wema kama mwanamke wa mtu.Je,Wema yupo sahihi kuifanya mbunye yake ndo mtaji? Je,ungependa siku usikie bintiyo akikuambia Wema ndiyo rolemodel wa maisha yake?
 

Lol..hell no...
 
Tuliishia wazoea hao jamani. Kuwasema na kuwajadili ndo umaarufu wao!!
 

mkuu hii nyota ya wema naona ni noma sana, yaani kazi yake kuwaletea wengine mafanikio lakini yeye mwenyewe ziro! hiyo nyota ingekuwa bomba kama inamletea wema mafanikio vinginevyo ni stori za mganga kudai anauwezo wa kumpa mtu utajiri lakini yeye mwenyewe yuko hoi!
 

Mkuu hapo umenena iweje nyota yako kali lakini haikung'arishi mwenyewe,huo si ndio uprofesa Longwater.
 
You doesn‘t know


Jamaa mbishi amekomaa na kidhungu chake.

Kwi kwi kwiiiiiiiii

Du hiyo tense gani tena maana kila nikitafuta kwenye makabrasha ya ras Simba sijawahi kuona muundo wa sentensi kama huo kwenye kidhungu.
 



Mkuu hapo umenena iweje nyota yako kali lakini haikung'arishi mwenyewe,huo si ndio uprofesa Longwater.

Wakuu Wenzangu nadhani mnafahamu kua, Behind every Successful Man, there is a Woman and Vise Versa.

Sio kila mtu atakae toka na Wema ndio atafanikiwa au sio kila demu atakae toka na Dimondi ndio atafanikiwa, bali ni wale tu ambao nyota zao zinaendana. Kupata matching kama hiyo sio rahisi, inatokea kwa bahati sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…