If this is true! Huyu jamaa hakufai. Kwanza hajui kama umaarufu alionao kila unapotajwa wewe na jina lake ndio unaongezeka. Tafuta Mwengine! You can stand alone without him. This is too much! Enough is Enough!
USOME UJUMBE HUO HAPA CHINI:
Source: DIAMOND AMPIGA VIJEMBE WEMA SEPETU
Wakuu Wenzangu nadhani mnafahamu kua, Behind every Successful Man, there is a Woman and Vise Versa.
Sio kila mtu atakae toka na Wema ndio atafanikiwa au sio kila demu atakae toka na Dimondi ndio atafanikiwa, bali ni wale tu ambao nyata za zinaenda. Kupata matching kama hiyo sio rahisi, inatokea kwa bahati sana.
Ila mkuu Mzimu yule demu hajielewi tu maana ametengeneza mashabiki walio wengi angetumia fursa hiyo kutengeneza maisha zaidi tuwajuao.Amke akung'ute masaburi yake atengeneze maisha yake. Haushangai sisi wanaume wengine tunaoa wanawake wenye sura za kawaida kuliko tunaolala nao wengine, tunahitaji wenza ambao ni washauri na mama bora wa familia zetu tunzianzishayo.............
Waache mmallaya wafanye yao kila mmoja kavutiwa na ummalaya wa mwenzake. Acha kujisumbua hawashauriki hao mallaya sugu
in the name of love wema kamkabithi diamond nyota yake asafirie ili hali yeye anatembelea TZ eleven.Duhh! Jamani, I am a man, right! ila jamani, Wema is like my sister, i feel bad huyu dogo anasafiria nyota ya Wema, akifanikiwa ana sahau. Alipokua na Penny alisha anza kuchuja. Alipo ona anataka kutoa single akamtafuta na malavi davi mengi, alipopata tuzo kibao akatangaza na ndoa. Sasa anahisi yuko juu anamdhalilisha. Hapa msio pendana ni nyinyi wanawake. Sisi hua tuna ambiana ukweli tu.
Mkuu unaweza kua na mtu unaishi nae, hafanyi kazi yoyote lakini kuonekana nae tu hadharani kukaletea bahati kubwa. Kama huyu dada! kama ni mbunye, mbona wanawake wengi tu wanazo, kama ni K za bure, si wengi wamepita kwa Dimondi, Lakini why This particular girl?. Wema Sepetu!
She may be a fish yes! but she is not like other fish. She is a GOLDEN FISH.
Nikiona mwanaume anatetea ujinga ambao ilibidi watetee Kule Instagram sielewii...mi nmeanza mkubali.diamond baada ya kufunguka hapa..mwanaume,hutakiwi pelekwapelekwa na mashosti wa dem wako
diamond yuko sahihi
alichozungumza diamond ni facts tupu, kama unampenda mwambie ukweli, ya nini kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa?? UKWELI NI KWAMBAA WEMA NI MVIVU, ANAPENDA VYA KUHONGWA TUU, ninashangaa sana mnaomsifia kinafki, mnamsifia kwa kipi???mtu husifiwa kazi kuwa mzuri pekee haitoshi, mnaopiga kelele hapa kutwaaa, wema ananyota kali, eehee! ukishakuwa na nyota kali??? uwe unafanya starehee tuuuuu nyota kali ilete hela au??? plzz don go around da bush as her men did, mnao claim kumpenda wema muambiaeni ukweli njia anayoenenda nayo kapotea, and stop blame diamond coz absolutely has nothing to do with her fall ni yeye tu kaamua kubweteka kwa kudhani pesa za diamond zinatosha yeye haitaji tena kutafuta. #kirohonyeupeee peeeee, simchukii hata mmoja tajwa hapo juu.
in the name of love wema kamkabithi diamond nyota yake asafirie ili hali yeye anatembelea TZ eleven.
hakika wewe ni MZIMU kweli, sikuwahi dhani kama kuna binadamu chini ya hili jua mwenye mawazo dhaifu kama wewe, so what u r trying to say ni mtu mwenye nyota kali hahitaji tena kufanya kazi?basi huyo jini, an let me remind u wimbo uliopaisha sana dai ni ngololo, by that time hakuwa na wema, wema karudiana na dai wakati dai yupo kwenye pick, wema alikuwa na kipindi cha TV wakati akiwa na cleme, walipoachana na kipindi kikafa, unajua ni kwanini kilikufa? aliyekishimamisha kipindi ni cleme sio wema, mbona baada ya cleme kuondoka hakuweza kusonga mbele?? unaweza niambia hiyo nyota yake kali ilikuwa wapi??? na mpaka leo wema ameendelea kushuka, na ndio maana dai kamshtukia, UKWELI NI KWAMBA WEMA SHE CAN NOT STAND ON HER OWN. hajakuzwa hivyo, hajafunzwa hivyo, chakufanya ni kumfunza sasa acheni kuleta ushabiki maandazi hapa, wema hana cha nyota wala mwezi. na kama anayo basi na tuione ikimletea maendeleo yeye, sio maendeleo apate diamond mseme ni nyota ya wema imemletea, hakunaga kitu kama hicho.
diamond anapenda kazi
wema anapenda starehe full stop
nikuulizee, uvivu wa wema ni siri ya chumbani? siri gani za wema dai kazitoa, alimwambia aachane na mashoga wapenda starehe, mashoga kupe, aachane na anasa afanye kazi, hakuna alipo mdhalilisha hata kidogo ila ukweli huuma, wema ajirekebishe tuu hakuna mwenye chuki nae.Fungueni bongo zenu mfikirie vizuri. Kama Dimondi, ana nia nzuri na Wema na sio kutafuta kiki kupitia jina la Wema, kwa nini hayo maneno ya busara asimwambie kitandani? Juu ya nini aweke mambo hayo ya siri, ya wawili tu, kwenye Mtandao wa kijamii kila Mja na Muungwana aone! Hivi mtu wa namna hiyo ndio Mnamuona yupo sahihi?.
Ok. WEMA ni Malaya, Umalaya wake nikutokana na wanaume aliotoka nao kimahusiano wana hisabika na wanajulikana. Hili ni jambo la kawaida kwa Wanaume na Wanawake. Huenda hao wa wema ni wachache sana ukilinganisha na Wewe na MIMI. Kama huamini, Muulize Mdogo wako wa Kike au Dada yako au hata Mkeo, kama atakwambia ukweli, mpaka sasa amesha pitiwa na Wanaume Wangapi?. Hao wa wema ni nikama 0.0005% ukilinganishwa na Ndugu zenu mnaoishi nao hapo nyumbani kwenu. Isokua tu, hao Dada zenu hawajakua Maarufu kama WEMA.
Mtakataa, mtatoka povu yote ni katika sizitaki mbichi hizi.
Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuweka siri za Mwenza Wake hadharani. Sasa kama yeye anataka umaarufu zaidi kupitia wema, Aweke video yao ya Ngono ili tuone ufundi wake wa Kugegeda, Maana Alishaturishia audio akiombwa radhi, na sasa ametuonyesha Anavyomshauri hadharani, bado hatujaona wanavyo sex. Aturushie na hizo video ili tufurahi zaidi.
nikuulizee, uvivu wa wema ni siri ya chumbani? siri gani za wema dai kazitoa, alimwambia aachane na mashoga wapenda starehe, mashoga kupe, aachane na anasa afanye kazi, hakuna alipo mdhalilisha hata kidogo ila ukweli huuma, wema ajirekebishe tuu hakuna mwenye chuki nae.
alafu sasa kama hujui wema aslani hapendi kukosolewa, hapendi kabisaaa kuambiwa unachofanya sio sawa, wema ye ni wakusifiwa tuuu, swala la yeye kushauriwa kuachana na mashoga kupe, kupunguza anasa hajaanza kuambiwa leo,lkn hasikiagi, kama unakumbuka kwenye kile kipindi chake kuna episode manager wake alijaribu kumzuia kwenye kwenye kigodoro weeeee alimtemea cheche za maneno mpaka kaka wa watu akajiona piriton, sasa mtu asiyemuheshimu hata manager wake ataonywa na nani kama si ulimwengu??? na kumsaidia mtu ni kumwambia ukweli tuu. si vinginevyo
Toa hiyo picha ya puttin kwenye avatar yako kwanza, humtendei haki
Oooh! My God. Moderator Umeniharibia heading ya thread yangu.
I Advice Wema to ditch this guy, he's not worth it. Mimi sikuandika hivyo. Sio kingereza sahihi.
Mimi niliandika hivi!
Wema, ditch this guy, he doesn't Worth it.Naomba urudishe hiyo heading yangu kama ilivyo tafadhali. Au in brackets, andika kua wewe Moderator ndio Umebadilisha.
Hii heading yako wewe I Advice Wema to ditch this guy, he's not worth it. Gramatically iko wrong kama ifuatavyo.
1. Advice sio Verb ni Noun. Verb ni Advise.
Most people don't realize that advice and advise not only have different meanings but are also pronounced differently. Advise is a verb and advice is a noun. So advice is what is given and the act of giving advice is called advising (or to advise).
2. He's not worth it. Ni wrong sentence. Unapotumia simple present tense, for third person singular, hutumii is unatumia Does.
Please for further lessons, PM me.
CC. Wana JF wote Mnaojua kingereza,
cc. Maxence Melo,
cc. invisible.
dude!... ww ndo ulikosea... kasoro hapo kwenye advise... the rest, wamekurekebisha sawa
Men! It seems English is a serious Problem here at JF. I'm Sorry guys, you need to go back to school. My Sentence is Grammatically correct for those who know what I'm talking about.
CC. JF members