I Agree With Tanzanian Minister.

Naona maongezi kati yako na Mk254 hapo jana bado yanazidi kukudhuru.
Fuatilia mada iliyo mezani, Tanzanian youth are in better position then their neighbours.
 
.....and you should learn that you are actually better than them. Waambie wasahihishe hapo kwanza ndio ujumbe uweze kuwafikia kondoo bila hitilafu.
Yani katika yote umeona hapo tuu, Inaonyesha huu ujumbe haijakufikia.
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake, lakini maoni bila tafiti, ni kama kuweka kikombe kitupu mdomoni ukidhani unakunywa chai.

View attachment 850495


Reminds me of a certain movie. Not sure whether it was 'The Dictator'.
The government controls information and tells the citizens that their country won the Olympics, defeated another country in war etc. They never even participated in the Olympics.

This Magufuli mouthpiece seems to be getting inspiration from this movie.

Telling his countrymen to relax and believe that their GDP is the best, their roads are the best, their health system is the best, their education is the best, electricity production the best etc.
Mmekuwa LDC for 60 years, na hivyo ndivyo mtakaa LDC for another 60 years.
 
Hapo ndio mnajidamganya eti GDP. While a price of unga, petrol, sugar is sky rocketing. Unemployment worse that any EAC countries, health care is for selected few, land, security, corruption all drugging the country to its knees in term of social inclusion. Halafu your talking about GDP, the GDP doesn't even trickle down to common mwananchi. Hebu tuambiane ukweli kama Kenya mna maisha mazuri kuliko Tanzania.
 
Mbona hajataja nyang'au hapo? Tanzania inapakana na nchi nane, sio moja tu.
muoga maanake. pamoja na jiwe, wote waoga tu. kazi kurusha vijembe na maneno ya kwenye khanga... lakini as always, big brother, Nyang'au atamuangalia tu na kucheka kwa dharau... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yani katika yote umeona hapo tuu, Inaonyesha huu ujumbe haijakufikia.
Ujumbe umewalenga vijana watanzania, mimi sio mmoja wao. Nawasaidia tu kuupiga msasa ujumbe wenu, ni ujirani mwema tu. Sahihisha na kichwa cha mada yako pia. Inastahili iwe; I agree with the au this Tanzanian minister. Shukran.
 

The higher the GDP the higher the price of things. An avocado in Kenya is about $0.2 while in the US its $2. A banana in Kenya is about $0.05 while in the US its $0.5.

At the end of the day, we are a developing country like any other, so those things you're talking about like corruption will be there, but you still cannot match our level of development.

Siwezi kuambia kama Kenya tuna maisha mazuri kuliko Tanzania sabau sijaishi Tanzania. I can only tell you what every international body says. That Kenya is more developed than Tanzania, and the gap is widening.
We have more roads km, more electricity connectivity, better salaries to match the price of commodities etc.
 
I've been in Kenya and and many other neighbouring countries, all I can say, Tanzanian youth have so much opportunity compared to their counterpart. Tanzania being a developing country, there so many areas which haven't been fully explicated. Tanzanian youth will have less to worry about creating jobs in the next 30-50 years compare to the youth of Kenya or Rwanda or Uganda. So when you hear those international body telling you that Kenya is ahead because of her GDP, ask them to tell you where will the future jobs or food or land come from.
 
Ujumbe umewalenga vijana watanzania, mimi sio mmoja wao. Nawasaidia tu kuupiga msasa ujumbe wenu, ni ujirani mwema tu. Sahihisha na kichwa cha mada yako pia. Inastahili iwe; I agree with the au this Tanzanian minister. Shukran.
Your overqualified to be here, ulitaliwa kuwa kule Oxford unasaidia kuandika kamusi ya Malkia. [emoji23]

PS hiyo ni heading not a sentence, "THE, THIS" inaweza kuwekwa au kutowekwa. Introduction can be anything even initials if that would make sense. Kama ukitaka kujuwa ni nini kinasemwa then you read the body for more content.
 
Hawezi Rudi tena uyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…