I am a language teacher just in case you are interested

Goar

Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
18
Reaction score
1
Kama unahitaji kujifunza kingereza cha kuongea na kuandika, au kifaransa au kiswahili, unaweza kunipigia simu namba(+255714855778). Utajifunza kwa wakati wako, mahali panapokufaa kwa siku zinazokufaa ila course nzima ni ya siku 30. Malipo ni laki moja kwa wale wanaotaka kujifunza kingereza na wangependa kulipa yote kwa pamoja ila ukilipa kwa siku ni 5000 kwa kila siku unayojifunza. kwa lugha za kiswahili na kifaransa ni 150,000 kwa course nzima au 10,000 kama utapenda kulipa kwa kila siku unayojifunza.
 
Labda ungefafanua zaidi unaposema mala popote. Je ukipata mtu wa tabora na mwingine Pemba utawhudumiaje?
 

Tunatafuta mwalimu wa Kiingereza kwa watoto wa dada yangu. Andika hilo tangazo lote kwa Kiingereza, ukitumia sarufi, herufi kubwa na ndogo, mikato, na maneno fasaha ya Kiingereza. Nikutathmini kwanza.
 
Mimi niko Arusha nahitaji kujifunza kifaransa.
 
Goar, je vous remercie pour cette information. Êtes-vous à Dar es Salaam?

Je suis actuellement à la recherche d'un professeur de français. Je vous appellerai pour plus de discussion.

Merci.
 
Teacher naona ameamua kula kwona, kaka mie nataka unifundishe kiswahili ila kiwe cha ki-temeke temeke..si unajua yale maneno ya shombo ya juma nature kibla ..ahahah..mwalimu kiswahili unachofundisha ni kipi kile fasaha au chetu hiki cha uswazi?
 

语文教师 Goar;

表示感激
 


Bandika CV yako tafadhali.
 
Goar, je vous remercie pour cette information. Êtes-vous à Dar es Salaam?

Je suis actuellement à la recherche d'un professeur de français. Je vous appellerai pour plus de discussion.

Merci.


Mh! mkuu umeniacha!
 
Mh! mkuu umeniacha!

Pole mkuu. Sina lolote nime google tu kuandika kicho kifaransa uchwara!. Nimesema hivi:

Goar, asante kwa taarifa hii. Upo Dar es Salaam? Natafuta mwalimu wa kifaransa. Nitakupigia kwa majadiliano zaidi.

Asante

Ila ki ukweli kabisa napenda kujifunza ili siku moja niweze kuzungumza kifaransa kwa ufasaha zaidi!
 
Ungeweka kwa lugha zote tatu! Nimejaribu hapo chini:

Kiswahili:

Kiingereza:
Kifaransa:
 
Asante sana, kwa sasa niko Dar es Salaam kwa hiyo kwa wale walioko nje ya Dar haitawezekana.

Labda ungefafanua zaidi unaposema mala popote. Je ukipata mtu wa tabora na mwingine Pemba utawhudumiaje?
 
I am currently in Dar es Salaam, sorry for those that are out of Dar, i can only attend to those in Dar es Salaam. The easiest means of contacting me is through my cell phone because i am not always on the internet, so for those that are interested please use my number (+255714855778), you can even flash me and i will give you a call and explain more.
 

Hapo kwenye red mwalimu umechapia itabidi kupunguza ada
 

Ndio mambo ya Common Market hayo yameanza nini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…