I am a language teacher just in case you are interested


Kama wewe mwenyewe hujui kiingereza utawezaje kumfundisha mwingine?
 

Mwalimu Goar;
Yaani mpaka hapa tayari umeshanitia wasiwasiwasi mkubwa sana, angalia hizo red. Labda wakujaribu hasa foreigners uwafundishe kiswahili. Kama kiingerza chenyewe inakuwa hivi, kifaransa si ndiyo itakuwa shida kabisa. Kwanza kwenye kiingereza hakuna neno i ila kuna I, wewe kama mwalimu ulitakiwa ulijue hilo!
 
Lugha hutegemea ulikosomea....na Mwalimu wako. tuarifu ulikosomea, shahada yako na umaarufu wako.
 
Lugha hutegemea ulikosomea....na Mwalimu wako. tuarifu ulikosomea, shahada yako na umaarufu wako.

Grammar ndi kipimo kibikwa chs lugha sio ujuzi wa maneno ( vocabulary) kwa hii grammar inaleta hofu
 
Mashalaaah, ndio mambo ya mjini hapa

Inatisha na grammar hiyo unakutana na Mganda au Mkenya, walahi ukitoka kwenye mahojiana jopo linakucheka, halahu oooh free movement of labour, kwa nini wasiseme watanzania hatuwataki tunataka wa nchi nyingenie tujue tu na tujirudie kijijini.

Na baada ya miaka miwili hii forum itakuwa na Mzee mwanakijiji, babu mwanakijiji, baba mwakijiji, mama mwanakijiji, mtoto mwanakijiji. mjukuu mwanakijiji, mwanakijiji original, mwanakiji academia, mwanakijiji diaspora etc
 
Goar, je vous remercie pour cette information. Êtes-vous à Dar es Salaam?

Je suis actuellement à la recherche d'un professeur de français. Je vous appellerai pour plus de discussion.

Merci.
Êtes-vous pour de vrai!?
 
Lugha ni sarufi pekee? bila msamiati itaeleweka je? waalimu kweli! Ni language teacher ama teacher of language?

Katika lugha yako ya kwanza ulikuwa unajua maneno lakini ulikuwa hujui sarufi yake, si ndio? Lakini mtu asiyejua na anaona unajua maneno mengi ya kikwenu na hayaelewi lakini hayana mpangilio atakusifia sana kwamba unajua ile lugha pamoja na broken zote.

Msamiati sio tatizo kabisa tatizo ni jinsi ya kupanga maneno yaliyomo kichwani ( hiyo ndo sarufi) ili yaeleweke na watu wanaokusikia.
 
Grammar ndi kipimo kibikwa chs lugha sio ujuzi wa maneno ( vocabulary) kwa hii grammar inaleta hofu
Mkuu ongera kwa kufikisha post 1000, keep it up katika kuendeleza libeneke ndani ya JF.
 
Mkuu ongera kwa kufikisha post 1000, keep it up katika kuendeleza libeneke ndani ya JF.

Paster, Nakushukuru kwa kunikumbusha hilo, lakini pia nawashukuru wote ambao tumekuwa tukipeana chamgamoto, kitimoto, mabishano nakadhalika naamini hiyo ndo inafanya jukwaa hili liwe home of great thinkers. Kama nitakuwa nimewakwaza wana jamii kwa njia moja au nyingine naomba tuvumiliane. Binadamu wote tuna mapungufu.

Kuna wachangiaji wengi sasa hivi siwaoni siku hizi, kulikoni? walikuwa na michango chanya katika jukwaa hili, kama kuna watu wanaweza kuwafanya warudi watakuwa wamefanya jambo la msingi sana. Uwepo wao jukwaani ni jambo la msingi sana.
 
Msamiati sio tatizo kabisa tatizo ni jinsi ya kupanga maneno yaliyomo kichwani ( hiyo ndo sarufi)

Natofautiana. Sarufi kama wewe ni native speaker wa lugha fulani itakuwaje issue? Mara chache sana kusikia Muingereza anachanganya tense au Mswahili anasema "jana mimi nakuja," labda kama ni Mnyasa au Mkenya ambae native language yake sio Kiswahili. Binafsi mimi ni muongeaji asili wa Kiswahili, tatizo langu sio sarufi, tatizo msamiati nilionao ni hafifu. Unajikuta kila wakati unaazima lugha za watu.
 
Tupo pamoja mkuu. Hao wanao hadimika nadhani ni majukumu tu yamewatinga, mambo yao yakiwa poa tutawaona tena M'Mungu akipenda.
 
Jamani mie natamani sana kujua ki-arabu, kama kunamtu anakifahamu na yuko tayari kufundihsa aniambie, please!
 
hehehehe
I AM ENGLISH TEACHER
hehehehe
 
Peut être, il est du Kenya ... parce qu'ils pensent que la Tanzanie ne parle pas bien l'anglais.

huwa ndio hivyo...na hii mambo ya East Africa mbona tutatoana roho mwaka huu
 
Êtes-vous pour de vrai!?

Oui mon frère, je suis pour de vrai! Je veux apprendre le français. Comme vous pouvez le voir Rwanda et le Burundi font maintenant partie de la Communauté est-africaine. Nous devons nous préparer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…