I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
Itakuwa haukojoleshwi mama. Ukikojozwa hamu inaisha kabisa, nshawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dzain yako. Ilkua ni kutwa mara 3. Nilipokuja kumpatia vizuri (kumfikisha) akakaa sawa kabisa. Tafuta wa kutulia nae akupatie vzur tatzo litaisha jaribu aina tofaut tofaut za mikao ipo siku utapata inayokufikisha kunako.
 
We nawe umengangania alibakwa kakwambia hana historia wala traces za kuwa manipulated . Kwanza wataalam wanasema wengi waliobakwa hawapendi na hawawnjoy sex

Huyu ni high ostregon levels tu . She needs to tune her mind set na lifestyle yake.
 
We nawe umengangania alibakwa kakwambia hana historia wala traces za kuwa manipulated . Kwanza wataalam wanasema wengi waliobakwa hawapendi na hawawnjoy sex

Huyu ni high ostregon levels tu . She needs to tune her mind set na lifestyle yake.


Inategemea siyo lazima wote waliobakwa wawe na trauma, wengine wanabakwa na kuendelea kuwa wa kawaida ni kama tu wanaume pia siyo wote waliobakwa jela wanakuwa mashoga, kuna wengine wanabakwa na wakitoka wanakuwa wa kawaida tu, hivyo inategemea na mtu na mtu.

lkn wale waliopata trauma huwa hivyo, aidha huwa walevi, madawa ya kulevya, au sex kimojawapo ni lazima na sababu ya kufanya hivyo huwa ni kudili na hiyo hali inapojitokeza yaani kila akikumbuka inamsumbua na hivyo ili kuipotezea hutumia kilevi, au madawa na wengine sex, lkn kimojawapo au hata vyote ni lazima.
 
Tatizo unangangania one causality tuu as if its cast in stone kula lazma awe alibakwa . Kashasema over and over NO.she just loves sex whats wrong with that?
 
Tatizo unangangania one causality tuu as if its cast in stone kula lazma awe alibakwa . Kashasema over and over NO.she just loves sex whats wrong with that?


Nimeandika post nyingi kwenye hii kama ungezisoma zote ungeona kwamba ,,sijang'ang'ania" kubakwa tu, bali nimeweka pia sabau nyingine ambazo zinaweza kusababisha high sex drive kama genetics yaani kurithi, ugonjwa kwa sababu ameongelea addiction , na addiction huwa ni ugonjwa sasa kama ni addiction mara nyingi huwa na sababu, na sababu zinaweza kuwa nyingi kubakwa ikiwa ni moja wapo na kubwa, nyingine zinaweza kuwa kulelewa katika mazingira ambayo wazazi/walezi ni wakali sana na alibanwa matokeo yake kuchelewa sana kuanza sex na hivyo kumuathiri pia kisaikolojia n.k.
 
DAH HATA NA MIMI NIPO ADDICTED TOO...!!!!1 ASEEEE PER WEEK NAWEZA KAZA PAPUCHI SII CHINI YA MARA 15 ,,, SOO kama uki mind njoo inbox mamiii @
Evelyn Salt


tulongeeeeeee MAANA UME FUNGA PM SO INAKUWA VIGUMUU MALE ADDICTED ONES KAMA WEWE KUKU APPROCH..............................IHIHIHIHIHHIIHIHIHIHHHHHIIIII
 
I LOVE LOVE MAKING TOO!
SANA TU!
BUT SIJAWAHI ITERM KUWA NI ADDICTION!
to me is more an emotional connection in a couple!
HAINIKERI KABISA!
INANIKERAJE KIMFANO WAKATI NATENDEWA HAKI?
najua na mhusika HAKEREKI HATA CHEMBE!
speaking of which ngoja nimtongoze !
 
Ukimpata anaekukojoza ndio unakua sex addict sasa. Maana ukiwaza unavyokojozwa unataka tu sex sio jambo lingine
 
Ukimpata anaekukojoza ndio unakua sex addict sasa. Maana ukiwaza unavyokojozwa unataka tu sex sio jambo lingine
Very true, yani the more the good sex the more I'm dying for it... (Nkikojozwa na kizungu kinapanda)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…