I am Dating Older Women

mkuu eleza linakuhusu kivipi ili tujifunze

Hata baba yangu kampita mama yangu miaka 10.

Nami namwanamke(sio mke wangu) kanipita miaka iyo iyo.na anaheshima vizuri tu.

Sasa cjui unataka ushauriwe kipi?

Hata baba yangu kampita mama yangu miaka 10.

Nami namwanamke(sio mke wangu) kanipita miaka iyo iyo.na anaheshima vizuri tu.

Sasa cjui unataka ushauriwe kipi?

kama anakupita miaka 10 unaonaje??kuna future?

Ndio.

Mbona hana shida.
We unataka future ipi?
Mambo ninayofanya nae sasa ndo future yetu.
Nadhan umenielewa.

Wewe subiri mgongo uanze kupinda wakati wewe ndo kwanza kunakucha tuone kama mtaongozana bara barani.....Tuishi leo tufikirie pia kesho maana ukidhani haitafika halafu iyo kesho ikafika utakuwa chizi.

<br
Unajua unashangaza sana.
Wangapi wamepinda mgongo na ni vijana?

Mapenzi hayana formula.
Unataka nitumie Pythogracy?
Think twice jombaa!

Age? you mean the numbers? and not the look? Or Both.
Afterall Age is just the numbers.

mmmmh na ww toka hapo nyooooo ......unapendatu ushapitwa kaka

<br
Unajua unashangaza sana.
Wangapi wamepinda mgongo na ni vijana?

Mapenzi hayana formula.
Unataka nitumie Pythogracy?
Think twice jombaa!

Nilitaka kukuambia kuwa unatumia nanilihii kufikiri kama Didasi alivyowaambia Wabonge wa dar lakini wewe subiri Age ikisonga kidogo siye washkaji zako tukija kwako tunampa shemeji Shkamoo bibi (kwa kudhani bibi yako katoka kijijini) wewe tunakupa hi ndo utanielewa.

hey buddy can you find the one for me too....am 27 and am serious abt that...

mbona mko sawa tu

Ndio.

Mbona hana shida.
We unataka future ipi?
Mambo ninayofanya nae sasa ndo future yetu.
Nadhan umenielewa.

mkuu sijawahi kuona mwanamke mtamu kama aliyekuzidi age,,,hivi kwa nini?

duh! Mkuu director mbona hapo umri hamjapishana sana? Mi nilidhan unadate na kikongwe wa 58 teh! Endelea kaka, ndio mapenzi hayo na huko ndiko kupendwa! Wish u best of Lucky.

Kumbeeee!Ngoja namimi nianze kuwafukuzia!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…