Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.
Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi.
Muwe na wakati mwema.