Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.
Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi.
Muwe na wakati mwema.
wote tulianzia huko huko tena tulifly bila ngozi na mifupa mitupusasa tuna manyoya hata kufly tena hatuwezi enjoy kulia kwajahabari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi.muwe na wakati mwema.
wote tulianzia huko huko tena tulifly bila ngozi na mifupa mitupusasa tuna manyoya hata kufly tena hatuwezi enjoy kulia kwaja
Naomba :flypig::flypig::flypig: with wings na wewe.....Hahahahahha. . . Smiley bana.Unamharibia mwenzio "honeymoon period " yake ujue.
Naomba :flypig::flypig::flypig: with wings na wewe.....
hakijaharibika kitu lizzy ale maishahahahahahha. . . Smiley bana.unamharibia mwenzio "honeymoon period " yake ujue.
Heheheh. . unarusha madongo ehhhh?Samahani kwa wale ambao hawaoneshwi mapenzi, najua ni kwa jinsi gani uzi huu unawahuzunisha kwani mnatamani laiti mngelikuwa ninyi, poleni sana. Ila kwa kweli ninaenjoy kupendwa sio siri
hatujabisha mrembo enjoy siku ukileta waraka wa kilio hapa tupo kukusaidia pia kamua mwana kamua malavidavisamahani kwa wale ambao hawaoneshwi mapenzi, najua ni kwa jinsi gani uzi huu unawahuzunisha kwani mnatamani laiti mngelikuwa ninyi, poleni sana. Ila kwa kweli ninaenjoy kupendwa sio siri
wote huwa wanaanzia kwenye ku fly withouts wings....ishu ni muda gani mtatumia ku fly..!??
bila shaka ni mpenzi mpya huyo.......................kaa mkao wa matanga tho sio leo wala kesho