I am happy and I want to share this with you

Hongereni sana mungu amjalie afya njema na baraka tele kwa familia
 
hongera sana Mohamed,nimefurahi kuskia umepata 2nd born...nakutauta ntakupataje?nlipoteza namba yako!
 
Hongera sana mkuu ila kumbuka kuwa huo ni mwanzo kbs jiandae ktk malezi
 
Hongera kaka. Mungu awajaalie kumkuza katika kimo na kumcha yeye.
 
Umentamanishaje?
Ka'baby gal mie nna hamu nako ajabu!
Mie vi-baby boy tu ndiyo vimeongozana.
 

Hongera sn mkuu
 
Hongera sana shem asa mbona ulimwambia naniliu hujaoa na unataka kumwoa?? Nway ipotezee tu shem
 
Hongera sana Kaka,

Kumbuka kuwa, safari moja huanzisha nyingine,

Aluta continua!!

Babu DC!!
 
hongera kwa mama na wewe Mudy...
May the Sun of Reality shine on her with the love of God...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…