I am happy and I want to share this with you

.........Congrats on your new little princess, Mungu awasaidie awape hekima ya kumkuza mtoto kwenye maadili mazuri.
 
JF leo mmekuwaje? Yaani wote mmnabusara na kumpa maneno matamu tu Mohd Shossi!

Shehe mi ni mmasai, kwatamaduni zetu naomba uniitajie mahali nije nimpose mchumba mapemaa kabla hajawahiwa.

Hongera kwa kunizalia Mchumba yakhee.

JF kuna waungwana zaidi unavyodhania mkuu. Shukran kwa compliments hivi nyie wamasai ile sera ya elimu kwanza haijawafikia?
 
hongera kwa kuwa baba ila kaza buti.kwenye mauld tafadhali tualikani napenda sana yule mbuzi asiye na chumvi na asali.
 

Congrats Muddy....................... Mungu akukuzie ka baby. Siku ya maulid yake utangaze hapa jukwaani ili tukuletee Mbuzi
 
Mungu amkuze na kumlinda
hongereni sana Mudi
 
Hongera sana.........
 
Hongera sana usisahau kufuga mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…