I am happy and I want to share this with you

Aleykum Salaam,

Hongera sheikh!!
 
Hongereni kwa new Born Baby
Mungu ampe afya na akue ktk maadili yanayompendeza Mungu
 
Hongera sana mkuu kwa baraka hiyo ya kujaliwa kupata mtoto. Mwenyezi Mungu awe nae katika maisha yake.
 
congrats ..... imeandikwa wapeni watoto wenu majina mazuri...hopefully utampatia zuuri (angekuw wangu ningempa nurat' au balqis) ehehheheeheh
 
congrats ..... imeandikwa wapeni watoto wenu majina mazuri...hopefully utampatia zuuri (angekuw wangu ningempa nurat' au balqis) ehehheheeheh

yep nategemea kimpa jina zuri shukran for the compliments
 
allahu maamina, inshaallah m,mungu amkumze ki ant chetu ,awe na tabia na maadili ya mema ,,ameen ampe eelimu ya din na dunia atofautishe mabaya na mazur,, mpe jina langu
 
allahu maamina, inshaallah m,mungu amkumze ki ant chetu ,awe na tabia na maadili ya mema ,,ameen ampe eelimu ya din na dunia atofautishe mabaya na mazur,, mpe jina langu

Amin Yarab shukran kwa dua nzuri InshaAllah iwe dua maqbul
 
hahaa mkuu kila la kheri, ulishawahi kusema una ki baby gal kingine, ina maana hicho ki baby gal cha pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…