Mkuu Ropam,..pole, ni vizuri kujua kama kuuma kwake ni ndani au nje ya sikio, kama kuna uchafu unaotoka,? kama unatoka ni nini damu, usaha, maji maji,( rangi yake)? ..
je upande wa pili halina shida?.. kama nalo lina shida ni saaa na upande chuo mwingine?..vipi uwezo wa kazi yake(kusikia) iko sawa au umepungua?
Sikushauri kuweka kimiminika chochote masikioni, nenda kaonane na daktari wa masikio.